Habari zenu Wana jamvi?
Matumaini mko poa kabisa. Ndugu zangu naomba mwenye uzoefu na mkoa wa Iringa niko na mtaji wa sh. Mil 5 nataka kufanya biashara lakini Hadi muda huu sijui ni biashara gani na nitafanya katika eneo gani mkoani Iringa.
Naombeni sana mawazo yenu
Mlio na ukaribu na bakresa embu mfikishieni wazo langu 🤔..
Bakresa group inaupiga mengi sana wamewekeza sekta nyingi sana hapa nchini.
Nakutoa ajira kwa watu wengi sana Tanzania na nje ya Tanzania.
Juzi wakati anapewa tuzo ya mlipakodi Bora wa hiyari, Nikaanza kuwaza mwamba kawekeza sana...
mpo mnapiga story mtu anapita nayo
umeenda kuomba mkopo benki wanahitaji kuiona business plan wanapita nayo
umeenda kwenye kampuni kuuza wazo wanakuwahi
n.k.
Umeumiza kichwa kufanya uchunguzi wa soko, location nzuri ya kutega, machimbo, gharama, wateja, n.k.
Ghafla unastuka kuna mwamba...
Heri ya Mwaka Mpya Wana JF Wote!
Ninaomba msaada wa mawazo kama kichwa cha habari kinavyosema. Kuna mtu amenipa wazo la kufungua kiwanda kidogo cha juice na kuwa washirika wa biashara (business partners). Tumejadili kuhusu kupakia juice vizuri, kuipa jina, na kuifanya iwe ya kuvutia.
Sasa...
Imekua nikama uvivu ama kutojitambua kwa watu wengi juu ya kuwa na wazo la biashara lakini kuianzisha biashara yenyewe inakua mthihani kweli kweli na hii kasumba sijui ni kwa biashara kubwa tu au hata ndogondogo?
Habari Kwa makazi nipo dar es salaam, Nina mtaji mdogo ambao Kwa upande wa frame ni changamoto Sasa Basi nataka kufanya biashara Kwa njia ya mtandao hasa kupitia WhatsApp
Kwanini nataka kutumia platform ya WhatsApp?
Kwasababu watu ambao nimesave namba zao wananijua na ninawajua vizuri kwaiyo...
Aslaam,
Kutokana na changamoto za Maisha ambazo hutufanya kawaza kutafuta ridhiki kila kukicha, wengi tumejikuta kujikita Mawazo yetu kwenye kufanya biashara ili tuweze kujikwamua katika mambo mbalimbali ya kimaisha hasa kwenye Nyanja za maendeleo.
Imekuwa kawaida yetu mtu anapowaza kujiajiri...
Nina wazo la kutengeneza converter ya umeme kutoka chini ya 10V hadi 250V na angalau 2000W itakayokuwa portable na mfumo wa kujicharge.
Hii itakuwa ni inverter inayoweza kutumika kwa matumizi ya ndani na hata wale biashara za kuhama hama kama machinga nakadhalika pia kwa matumizi ya nyumbani...
Wasaalam ndugu na jamaa
Naomba kuuliza, je biashara ya electronic transactions kama mpesa, tigopesa, Airtel money na halopesa ,faida yake inapatikanaje?
Na je kwa hapa dsm, biashara ipi inatoa zaidi kwa mtaji kuanzia 1m?
Na je ni maeneo yapi yanafaa?
Habari za leo wakuu;
Baada ya kupigwa sana na kuhangaika na watu mpaka level za kimahama kuhusu kuibiwa idea mbali mbali. Sasa nimekuja kwenu wadau kuomba hekima zenu kwa biashara hii ambayo tayari nimeanza kuona matunda yake.
Ni Biashara Ya kuuza wazo la biashara, wazo la kutafuta jina la...
Ndugu zangu hapa nilipo na mtaji wa laki saba na nipo Arusha.
Nilikuwa na wazo la kufungua biashara ya internet cafe ila nikiangalia kwa biashara hii mtaji ni mdogo.
Nilikuwa naomba wazo la biashara la mtaji wa laki saba ili niweze kuzungusha hela.
Kama kichwa cha hapo juu kinajieleza kwa walio bahatika kutembelea mji wa bariadi naomba msaada wa mawazo wa fursa za kibiashara walizoziona ambazo mtu mwenye mtaji at least wa Milioni 5 anaweza kufanya na maisha yakaenda vizuri. Natanguliza shukrani
Habari za wakati huu nduguzangu. Mungu ni mwema juu ya mapitio yote ya hapa na pale naamini sote tu wazima, penye walakini Mungu alete neema. Nilifanikiwa kupata ID ya mtihani siku ya mtihani (kwa wanaokumbuka, nitaelezea kilichonipelekea hapo kwa wakati mwingine)
Mimi ni kijana wa kiume (22)...
Wanajukwaa habari za Asubuhi,
Nina mtaji wa 3M nimehamia hivi karibuni Morogoro mjini hivyo nafikiria kuanzisha biashara. Sababu ya ugeni nimeona nisiwe na haraka kwanza bali niombe ushauri kwenu ni wazo gani la biashara naweza kuanzisha kwa hapa Moro kwa Mtaji huu? Wale Wa negative comments...
Kwa serious advisers, mimi ninaisha DSM Mbagala, nna 1.5M, naomba nipate wazo la biashara na hiyo pesa ni kwamba biashara ni kuanza mwanzo kabisa.
Pia soma Mtaji wa Tsh. Milioni 1 hadi 5: Naweza kufanya Biashara gani Tanzania?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.