Habari za muda huu, na poleni na harakati za kimaisha.
Nikiwa na imani na members wa jukwaa hili, nina imani kubwa nitapata mchango wa mawazo ya biashara kulingana na maeneo niliyopo na vitangulizi nilivyo navyo. Kwa uzoefu wenu, naomba nisaidiwe wazo la biashara niweze kujikwamua kiuchumi...