Habari wanajukwaa,
Dhumuni langu kubwa la kuporomosha uzi huu ni kuomba au kuwataka wale magwiji au wazoefu wa mambo ya migodini (kununua na kuuza pia na kusimamia karasha ili kuzalisha pesa kwa wingi).
Jamani mimi nimepelekwa mgodini na mzee wangu kusimamia karasha la kusagia mawe ya dhahabu...