wazuiwa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Kesi ya Dkt. Abdi Warsame anayeshutumiwa kwa wizi wa mabilioni yasikilizwa kisiri Kisutu, Waandishi wazuiwa

    Kesi inayomkabili Dkt. Abdi Warsame, anayeshutumiwa kwa kujipatia mamilioni ya shilingi kwa njia ya udanganyifu kutoka kwa kampuni ya bima ya afya AAR (sasa Assemble), imesikilizwa kwa siri katika Mahakama ya Kisutu jijini Dar es Salaam. Waandishi wa habari na umma wamezuiwa kuhudhuria vikao...
  2. Maseneta wazuiwa kusafiri hadi hukumu ya Gachagua itoke

    Wajumbe wa Bunge la Seneti wamezuiwa kwa muda kusafiri nje ya nchi ili kuhakikisha Wajumbe wote wanashiriki katika kesi ya kumng'oa Naibu Rais Rigathi Gachagua bila usumbufu wowote. Bunge la Seneti linatarajiwa kutoa uamuzi wa shauri hilo ndani ya Siku 10 kuanzia Okt. 9, 2024 Kwenye taarifa kwa...
  3. CHADEMA wasitisha safari kuelekea Katesh-Hanang kuwafariji wahanga wa mafuriko kutokana na vikwazo walivyowekewa

    Kupitia mtandao wa X, GODBLESS LEMA ameandika kuwa wameamua kusitisha safari ya kutembelea wahanga wa mafuriko kateshi wilayani Hanang kutokana na vikwazo vikali wanavyokutana navyo tokea waanze safari ya kuelekea huko --- Tumekatisha safari ya kuelekea Katesh- Hanang kuona waanga wa mafuriko...
  4. 4

    Msafara wa Makamu Mwenyekiti Chadema, Tundu Lissu wazuiliwa kuingia Ngorongoro

    Hii ndo habari iliyotufikia hivi punde, kwamba msafara wa Makamu Mwenyeki (Chadema),Mh lissu ,umezuiliwa kuingia Ngorongoro ili kufanya Mkutano wake na wananchi wa Ngorongoro, Hata ivyo taarifa za awali zinasema msafara wa M/mwenyekiti mh Lissu, wamefunga barabara na wamehaidi kutohondoka...
  5. Msafara wa Zitto Kabwe wazuiwa Tunduru

    Jeshi la Polisi Wilaya Tunduru limezuia msafara wa Kiongozi wa Chama cha ACT Wazalendo, Zitto Kabwe likidai hawana taarifa ya ziara hiyo. Kiongozi huyo wa upinzani ambaye yuko kwenye ziara ya ujenzi wa chama mikoa ya Kusini msafara wake ulizuiwa ukitokea kata ya Namwinyu kwenda Kijiji cha...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…