Kwenye pita pita nikakutana na samaki hawa, muuzaji anawapatia sifa sana kuwa ni samaki wenye virutubisho haswa protein.
Sijafahamu ni samaki kutoka sehemu gani, ila nilipokula nimepata kuona ni samaki watamu sana, nyama laini na yenye upekee wa tofauti.