web

  1. R

    Msaada wa title ya computer science iwe ya web based , nimefikiria ila mambo magumu instructor anakaa zote

    Wadau naomba mnisaidie title ya computer science iwe ya web based nilizofikiria zote instructor amezikataaa
  2. jikuTech

    **Hatua 3 Jinsi ya kuingia Dark Web (simu na computer)**

    Hatua 3 Jinsi ya kuingia Dark Web (simu na computer) Katika pitapita zangu nimekutana na maelezo kuhusu dark web internet ambayo haiwezi kufikiwa na injini za utafutaji za kawaida, watu wengi wamelezea inavyo tosha kuelewa sehemu hii ya internet, nitakacho kupa hapa ni faida kama haujawahi...
  3. Cybergates

    Voxmart: Simple ecommerce web app

    Kipindi nilikua napata mda wa kuwa free nilikua nafanya project ya kutengeneza ecommerce application, mpaka sasa naona imekamilika baada test za hapa na pale https://voxmart.co.tz/
  4. NetFasta

    Web hosting kwa tsh 55,000 tu

    💥OFFER-OFFER-OFFER BAABKUBWA💥 💥 Jipatie Web Hosting Ya Mwaka Mmoja Kwa Tsh 55,000 Tu! 💥 1️⃣ 25 NVMe SSD Storage 2️⃣ Free Website Migration/Transfer 3️⃣ Maximum Speed (Up to 3x) 4️⃣ Kama Unaitaji (Landing Page) au PHP Script yoyote, tuta-install Bure ⚡️ Usikose ofa hii ya kipekee!. 📞Tupigie...
  5. NetFasta

    Ofa Ya Web Hosting Kwa Tsh55,000 Tu

    💥OFFER-OFFER-OFFER BAABKUBWA💥 💥 Jipatie Web Hosting Ya Mwaka Mmoja Kwa Tsh 55,000 Tu! 💥 1️⃣ 25 NVMe SSD Storage 2️⃣ Free Website Migration/Transfer 3️⃣ Maximum Speed (Up to 3x) 4️⃣ Kama Unaitaji (Landing Page) au PHP Script yoyote, tuta-install Bure ⚡ Usikose ofa hii ya kipekee! 📞Tupigie: 0780...
  6. NetFasta

    NetFasta.Com - Web Hosting offer

    💥OFFER-OFFER-OFFER💥 NetFasta.Com - Stress-Free Web Hosting 💥 Jipatie Web Hosting Ya Mwaka Mmoja Kwa Tsh 150,000 Tu! 💥 Kwa Kifurushi Chochote Utakacho Chagua Na Utapata Ofa Hizi: 1️⃣ Utapata Domain Ya .Com Bure 2️⃣ Tuta-Design Website Yako 1 Bure 3️⃣ Kama Una Website Ziko Kwenye Hosting...
  7. Brave_Idiot

    Mtumiaji wa WebMoney Keeper???

    Kama hua unatumia web money kutuma na kupokea pesa tafadhali naomba msaada wako 🙏 ?
  8. D

    Web Development na Application Development kwa Bei Nafuu

    Habari, kwa jina naitwa Anderson Mgaya ni kijana mwenye uzoefu na uwezo mkubwa katika Web Development na Application Development. Ikiwa unahitaji tovuti ya kisasa au programu itakayowezesha biashara yako au mradi wako kufikia viwango vya juu, niko tayari kufanya kazi na wewe kwa bei nafuu...
  9. Xi jiping

    Dark web hamna lolote!! Nimeingia huko sijaona kinachoelezwa!

    Wakuu ukisikiliza stori za dark web mtandano na mitaani unaweza pagawa. Lakin huko dark web hamna lolote
  10. M

    Data science and fullstack web developer

    Wakubwa nilikuwa naomba kwa anaejuwa kati ya data science na fullstack web develpmnt. Ni ipi inasoko sana kwa tanzania na hata nje pia?
  11. Mr Mjs

    Je, ni zipi sababu za kupanda kwa bei ya .Com domain kwa Tanzania?

    Hivi karibuni nilitaka kufungua website kwaajili ya kufanya project yangu fulani. hivyo niliamua kununua domain na hosting kwaajili ya project yangu. Nikaanza kufanya research juu ya kampuni ambayo ningeweza kuitumia kwaajili ya kuhost website yangu.lakini nikajikuta nakwama kutokana na gharama...
  12. M

    Full Stack Web Developer, Block Chain Developer, Machine Learning and Artificial Intelligence

    Wakuu, samahini nilikuwa naomba niuliza kwa wanaojuwa kati ya hizi programming skills job. 1. Full stack web developer, 2. Block chain developer, 3. Machine learning and Artificial intelligenece Ipi ni marketable sana hapa TANZANIA even OUTSIDE?
  13. L

    VETA wamemtakia Heri ya Kuzaliwa Rais mpaka leo hii tangazo lipo kwenye web yao

    Hivi ni sahihi kuendelea kuwa na Tangazo hilo mpaka leo? Mie ninafikiri Tangazo la hivi sio baya kutolewa just at the same Day kwenye Media na kisha siku zinazofuata basi lisiwepo! Haid nimejisikia vibaya pengine Taasisi yangu nimekosea kutoliweka kwa web Tangazo hilo! Twampenda Rais wetu...
  14. Moseskyey

    Web Hosting Cheap 12$/ 1 Year

    Je Umekuwa ukitafuta web Hosting ya Gharama nafuu na Umekosa, hapa ndo penyew pata web Hosting Bora na Nzur kwa Kazi zako sasa, niko na Offer hapa Plan 1 2 - 4 GB RAM and 2 CPU CORE Linux Ultimate ( $10.80 ) - 1 Year Linux Ultimate ( $25.90 ) - 2 Year Linux Ultimate ( $40.80 ) - 3 Year Linux...
  15. Melki Wamatukio

    Web ya JamiiForums imelipuliwa kwa mafataki. Inawaka miale ya moto wa kila rangi

    Katika maisha haya, najivunia vitu vitatu muhimu 3. Najivunia kuwa mtu wa watu i.e mchapakazi, mcheshi, bidii katika kazi bila kujali hasara, moyo usio na chuki, usio na hasira, usio na wivu wa kijinga n.k 2. Najivunia kuwa mwanachama wa mitandao ya kijamii ya JamiiForums na X 1. Najivunia...
  16. Gulio Tanzania

    Kampuni gani ni bora kwa huduma za web hosting Tanzania?

    Habari zenu wadau Nimekuja hapa nahitaji muongozo wenu nijue kampuni gani inafaa za hii huduma web hosting hapa Tanzania Ninataka nifungue site yangu kabla sijakulupuka nimeona ni vyema nipate muongozo
  17. C

    Mimi ni Web developer na Mobile dev nina wazo njoo tu discuss

    Wakuu kama kichwa cha habari kinavyosema hapo juu kuwa mimi ni web developer kwa miaka takribani 5 ninafahamu PHP, Javascripty,Mysql,CSS, pia nafahamu laravel na codeignter kwa ufasihi mkubwa pia nafahamu Kotlin pamoja na Java nafahamu vizuri kabisaa frameworks ya Java spring. lengo la...
  18. Jamii Opportunities

    Web (Site) Editor at The Guardian/Nipashe October, 2023

    Position: Web (Site) Editor Location: Dar es Salaam Job Purpose: This position requires a digital savvy bilingual journalist obsessed with using data 8 insights to generate engaging content and build audiences across multiple platforms. She/He should have a proven track record in creating...
  19. R

    Zitto Kabwe and ACT Wazalendo: Entangled in the Web of Conflict of Interest?

    Zito Kabwe, Kiongozi wa chama cha ACT amekuwa kimya kwa masuala makubwa yanayoikumba Tanzania, Tanganyika in particular. Kwa tunaomfahamu Zitto Kabwe na umahili wake wa kuchambua mambo ya kisiasa, kiuchumi n.k. leo hii amekuwa kimya katika suala la Bandari, Loliondo, Ngorongoro, katiba mpya with...
  20. M

    Natafuta web designer

    Kama wewe ni web designer mzuri nipe ofa yako PM kwa ku-design website kama hii ya Findel International. Biashara yangu ni kama yao 100%. Kitu ambacho sitataka kama wao ni huo mfumo wa malipo (payment integration)... kwa sasa sihitaji. Visit hiyo website kupitia link niliyokuwekea kisha njoo...
Back
Top Bottom