Nimetengeneza Web Application ya majaribio kwa kutumia Flutter na nimei deploy kwenye platform ya Vercel. Link hapa chini.. 👇
Bonyeza Link 👉 👉 🔗 FITNESS APP
Ukiifungua itakuja pop up inayokupa option ya kuinstall kama app ambapo itatengeneza icon kwenye home screen yako na utaweza...