web design

  1. Kuchwizzy

    Natoa huduma za Website and Mobile Application Development

    Price yangu ni affordable na ya makubaliano. Nina Business Centric Approach, yenye lengo ya kuipush idea yako ifanikiwe kwenye market ikiwemo na ushauri wa bure jinsi gani inaweza fanikiwa. Technologies ninazotumia; 1. Laravel (version 6 up to 8) 2. Vuejs(Version 2 up to 3) 3. Database(Mysql)...
  2. alphaMAPHIE

    Logo, Sticker na Poster za biashara kwa bei ya chini ya 5000/=

    Habari wanajamiiforum... mimi naitwa Alpha ninapenda kuwasogezea baadhi ya huduma zangu kwenu leo. ni matumaini yangu wengi watakao soma post hii ni aidha wafanya biashara au wafanya biashara watarajiwa au vyovyote vile. Ningependa kuwashirikisha baadhi ya huduma zangu ambazo ni pamoja na 1...
  3. Samedi Amba

    WordPress training and Mentorship

    Habari wanaJF, Bila kupoteza muda niende moja kwa moja kwenye mada. Ninatafuta wanafunzi ishirini ambao nitawafanyia training na mentorship katika eneo la web design and development. Unaweza uwe ni mwanafunzi wa chuo, mfanyakazi, au hobbyst ambaye ana interest ya web design. Kwa kutumia...
  4. U

    Web Design and Development Services

    Kampuni ya Sumtech Company Limited ina tengeneza website ambazo zina security, user friendly, high speed and good catching design. Tunatengeneza website kwa watu tofauti base on religious, e-commerce, companies, educational, Ngo’s na kadhalika. Tunapotengeneza website tunaweza ku include vitu...
Back
Top Bottom