web development

  1. D

    Web Development na Application Development kwa Bei Nafuu

    Habari, kwa jina naitwa Anderson Mgaya ni kijana mwenye uzoefu na uwezo mkubwa katika Web Development na Application Development. Ikiwa unahitaji tovuti ya kisasa au programu itakayowezesha biashara yako au mradi wako kufikia viwango vya juu, niko tayari kufanya kazi na wewe kwa bei nafuu...
  2. African Geek

    Framework gani ya backend inafanya uwe productive zaidi? Laravel / Django

    Ukiachana na serverless backend kama Firebase, Supabase, etc. Ni Framework gani inamfanya developer awe productive zaidi kati ya Laravel na Django? Binafsi, huwa natumia Node js kufanya backend lakini pia nimefanikiwa kutumia serverless backends (Firebase &, Supabase). Changamoto kubwa ya node...
  3. African Geek

    Unafanya coding ukiwa kwenye mazingira gani?

    Coders / Developers mnacode mkiwa mmejifungia chumbani au mnatembea na laptop kama mimi kwa ajili ya kubadilisha mazingira ya kazi. Nipo zangu zanzibar nakula upepo huku kazi ikiendelea
  4. African Geek

    Niendelee na Elimu ya chuo au nijiendeleze mwenyewe mtandaoni?

    Yes
Back
Top Bottom