Hatimaye mwenyezi Mungu ameamua kujidhihirisha wazi kupitia kwa aliyekuwa beautiful onyinye miaka ya nyuma na mrembo aliyependwa sana na watanzania.
Wema Isack Sepetu wakati wa huko nyuma aliwahi kusema alifanya makosa katika abortion aliyowahi kufanya miaka ya nyuma aliambiwa na madaktari...