Wema Sepetu (born 28 September 1990) is a Tanzanian actress and beauty contestant who won the Miss Tanzania contest in 2006 Miss Tanzania. She represented Tanzania in Miss World 2006, which was held in Poland. She later became an actress in Tanzania.
Ee bhana eeh huu mwaka umeanza na mbio sana. Huu mwaka utaisha haraka maana si kwa raha hizi!! Ukiangalia mbele raha nyuma raha pembeni raha!! Ni raha juu ya raha!!
Baada ya jux kufunga ndoa, na Hamisa nae anafunga ndoa tarehe 26 mwezi huu wa pili.
Tetesi ambayo ni hoti ni kwamba, Wema Sepetu...
Nimepita pita huko mtandaoni nikakutana na hii video ya mwanadada wema sepetu a.k.a Tanzanian sweetheart akilia mtandaoni na kumwaga chozi la maumivu linaloashiria anapitia hatua ngumu sana ya maisha yake.
Sijajua hasa alikuwa specific na maumivu gani ila nakumbuka juzi ya juzi kuna on-line...
Dada wa Miss Tanzania 2006, Wema Sepetu, Sunna Sepetu (37) ametiwa mbaroni mjini Worcester, Massachusetts nchini Marekani baada ya kukutwa na hatia ya kula njama ya utakatishaji fedha zilizotokana na utapeli.
Mshtakiwa mwenzake, Nafise Quaye, (47) raia wa Nigeria ambaye pia anaishi Worcester...
Msanii anaefanya vizuri kwenye kiwanda cha BongoFleva Whozu, amesema kuwa endapo kama ataachwa na mpenzi wake Wema Sepetu basi atajiua kwa kujitosa baharini.
Akifanya mahojiano na East Africa Radio Whozu amesema,
"Mapenzi yangu kwa Chimama yaacheni kama yalivyo. Nipo kwenye penzi zito siku...
Kiukweli miongoni mwa mambo ambayo anashauku nayo Wema Sepetu basi ni kupata mtoto.
Wema ameshajaribu kila namna kupata mtoto lakini anaambulia patupu zaidi na zaidi alichobakisha sasa hivi ni kungojea tu kudra za Mwenyezi Mungu aweze kumbariki na yeye siku moja aitwe mama.
Lakini kiuhalisi ni...
"Sijafanya Birthdays Parties zangu kwa miaka Mitano sasa ila hii ya mwaka huu nimeifanya ili Kusheherekea Kwangu kuacha kabisa Kunywa Pombe kwa miezi Tisa tokea Mwezi January 2023" amesema Mlimbwende wa zamani nchini Tanzania Wema Sepetu baada ya Kuongea na Waandishi wa Habari.
Katika Pombe...
Juzi akiwa anasherehekea birthday Wema akadai kuwa ana miaka 33.
Lkn vyanzo vingine vya taarifa za kuaminika zinaonesha tofauti. Mfano Wikipedia inaonesha Wema amezaliwa 1988 na kumfanya Wema kuwa na miaka 35. Na hii inaleta mantiki ya kwamba alipokuwa anashiriki Miss Tanzania 2006 alikuwa na...
https://youtu.be/z_Ev4ytqGmk?si=WvAsJcAtt7CK4XOq
Msanii wa filamu @wemasepetu amefunguka kueleza jinsi siku yake muhimu yakuzaliwa ilivyogeuka mwika katika yake ambayo imemfanya aape tutosherekea tena siku yake ya kuzaliwa.
Mwigizaji huyo ametoa taarifa hii “Nia na Madhumuni yangu ilikuwa ni...
Tangu mwaka 2006 aliposhiriki mashindano ya Miss Tanzania, Umri wa Wema Sepetu ni kama ulisimama, haukuwahi kusonga mbele. Kwanini? Yeye kila akiulizwa anasema ana miaka 26 na hakuwahi kuvuka hapo miaka kwa miaka. Yaani akipata interview yoyote kama ataulizwa swali la umri basi ni miaka 26...
Msanii wa bongo movie Wema Sepetu na msanii wa bongo flava Whozu wako kwenye mahaba mazito kwa muda sasa.
Hii video hapa chini inawaonesha wawili hao wakisherehekea kumbukumbu ya siku ya kuzaliwa ya Wema kwa mabusu motomoto na inasemekana Whozu alimfanyia ex madame surprise ya maua na keki...
Nakupa pole kwa yaliyomkuta mama yako leo kuwekwa hadharani kwa ile video alopost Mange Kimambi kama mtoto utakua umeumia sana kama mm tuu nimeumia hivi sembuse wewe?
Jamani mama zetu nini kimewakumba mpk kujirekodi katika umri huu? Mnajua kabisa hali ya mitandao kwa sasa ilivyo na bado unapata...
Ujana, mapenzi na ustaa.
Maneno hayo machache yanatosha kuelezea maisha ya Wema Sepetu na Diamond Platnumz. Kama hukufaidi drama za hawa wawili, bado hujalijua vizuri game la muziki wa kizazi kipya.
Kwa ufupi sana, hii ndiyo couple namba mbili iliyokuwa na nguvu kuliko zote katika historia ya...
Miongoni mwa matukio ambayo yamezua gumzo ni tukio la Wema Sepetu kuwafukuza nyumbani kwake mastaa wenzake wa Bongo Movies, Elizabeth Michael ‘Lulu’, Irene Uwoya, Kajala Masanja, Jacqueline Wolper na wengine kwa maelezo kwamba hawakumpa taarifa kwamba wanakwenda nyumbani kwake.
Wema ameshtukia...
Muigizaji wa Tanzania, Wema Sepetu amesema baada ya mapito ya muda mrefu amebadili mfumo wake wa maisha na kwamba anafanya dua na kumtegemea Mungu katika mambo yote.
Hii ndiyo kauli yake: “Mimi ni binti wa Kiislamu nafanya sana dua. Watu wanamuona Wema wa mtandaoni lakini binadamu tunakuwa na...
IRENE Uwoya ni mwigizaji wa Bongo Movies na mjasiriamali; mama wa mtoto mmoja mwenye umri wa miaka 33, lakini bado anajiona binti wa miaka 20.
Inasemekana kwamba, Irene hana hata kibanda cha chumba kimoja ambacho amejenga, lakini amepanga apartment pale Masaki jijini Dar na analipa shilingi...
Miss Tanzania 2006 na muigizaji wa muda mrefu nchini, @wemasepetu amedai aliwahi ahidiwa kutopigwa kwenye mahusiano kipindi anaanza mapenzi na mwanaume fulani ila hali ikabadilika na kiapo kikayeyuka akaanza kuchezea vitasa vya uhali gani mahabuba.👇
“Nakumbuka zamani wakati naanza mapenzi na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.