wendawazimu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. KING MIDAS

    Ulokole bila akili ni wehu bin wendawazimu

    ULOKOLE UKIUNDESHA Kwa hisia tu Unageuka kichaa ama chizi anayejua anavaa nguo nzuri na kwenda kwenye jengo fulani kukutana na wenzake. YAANI paka anaweza pita nyumbani kwako,kisha akakutizama wewe Kwa kukukodolea macho tu, Na wewe kwa upumbavu wako unatangaza mfungo hapo nyumbani siku 7...
  2. Bulelaa

    Washauri wa Mbowe ni wendawazimu? Mbona hawakumshauri astaafu uenyekiti ili kulinda heshima yake?

    Mbowe anasemwa kwa maneno yote, kutoka kuheshimika kwa wasomi na wasio wasomi, sasa anadharaulika mpaka kwa wanafunzi wa primary school huko Si muige hata kwa wachaza mpira? Mchaza mpira ikifika pahala akaona kipaji chake ni kama kimeanza kushuka kwa kutumika miaka mingi, hustaafu kucheza na...
  3. G

    Mzee wa kichaga kakataa zawadi ya spacio akidai ni magari ya wendawazimu,

    Ndio imeshatokea Mzee Assey kakataa zawadi ya spacio aliyopewa na mkwe wake akidai hayo ni magari ya wendawazimu, Kuna wazee hawana adabu kabisa , Kwani spacio ina tatizo gani kwa kutumika kama chombo cha usafiri? Tuwe tunaangalia zawadi za kuwapa wazee waliojipatia pesa muda mrefu na ujana...
  4. Robert Heriel Mtibeli

    Je, anayoyasema kiboko ya wachawi kuhusu Watañzania kuwa wendawazimu yana ukweli kiasi gàni? Je, yeye ni wa kwanza kutamka maneno kama hayo?

    JE ANAYOYASEMA KIBOKO YA WACHAWI KUHUSU WATAÑZANIA KUWA WENDAWAZIMU YANA UKWELI KIASI GÀNI? JE YEYE NI WAKWANZA KUTAMKA MANENO KAMA HAYO? Anaandika, Robert Heriel Mtibeli Nimeshangaa Sana Baadhi ya Watu wakiumia, wakikerwa na kuchukizwa na maneno ya Nabii wa Buza, AKA Kiboko ya Wachawi baàda...
  5. Morning_star

    Hizi fasheni zinafanya vijana wetu wawe wendawazimu!

    sasa hapo kavaa kanzu na soksi yenye mkandaaa??? au imekaaje hii?
  6. Yoda

    Hivi ndivyo ushabiki wa mpira unavyoweza kuwageuza watu wendawazimu

    Kuna watu walikusanyika kweli kabisa kwa ajili ya hili tukio! Haipaswi kuwa hivi kabisa katika jamii ya watu waliostaarabika na wanaojielewa.
  7. P

    Pre GE2025 Uzi Maalum wa Vibweka na Hekaheka za wanasiasa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025

    Wakuu, Wabunge wameshaanza maigizo na mazingaombwe kuelekea uchaguzi mkuu 2025, wengine wanapanda baskeli, wengine wanaenda kula kwa mama ntilie, wengine wanapaki viete na kuingia na maguta, wengine wanakuwa majinjia ghala na kuanza kuendesha mitambo. Yaani ni hekaheka, patashika nguo...
  8. P

    Ukiifikiria sana hii nchi unaweza kupata wendawazimu!

    Huku nikiwa naendelea kufurahia vitu vya asili tulivyobarikiwa na Mungu pamoja na chakula kizuri, maisha ya watu wangu kiujumla ni magumu sana. Hakuna jitihada za makusudi za kuhakikisha watu wanaishi maisha yenye furaha. Unajenga nyumba nzuri, unaweka mifumo ya maji, vyoo vya ku flash, AC...
  9. chiembe

    Mch. Msigwa alisema kufanya jambo lilelile kwa njia ile ile utarajie matokeo tofauti ni uwendawazimu

    CDM wamejaribu sanaa ya maandamano si jana si leo. Wameshakuwa na slogani nyingi, ukuta, katiba, M4C. Hakuna hata moja iliyowahi kufanikiwa. Mchungaji Msigwq alisema kwamba unapofanya jambo lilelile kwa njia ile ile, utarajie matokeo tofauti, ni uwendawazimu. Njia ya majadiliano imeleta...
  10. Chizi Maarifa

    Ni wendawazimu huu wa kuamua ku attack tabaka la watu fulani

    Nimeona member mmoja ambaye yeye siku zote amekuwa akikosa hoja na kuamua kuwashambulia kada ya ualimu. Inawezekana kukawa na changamoto kwa walimu au kada. Lakini haiwezekani mtu mwenye akili timamu yeye akaamua kuwa anatukana tu walimu wakati wote. Na bahati mbaya amekuwa akipata support kwa...
  11. GENTAMYCINE

    Rais Samia, Tanzania ina wahubiri wengi wendawazimu na wabaya kuliko huyo mmoja wa Kenya

    Mwanao GENTAMYCINE nakuomba kimya kimya agiza watu wako (hasa wa system) wafuatilie, nakuhakikishia Mheshimiwa Rais utaletewa taarifa za ajabu na za kusikitisha kuliko hata aliyoyafanya huyo Mhubiri mmoja mpumbavu, muhuni, mwendawazimu na gaidi wa Kenya. Kuna mmoja anawaambia mabinti wapakae...
  12. Komeo Lachuma

    Hawa watu wa Reception Lodge muwe mnawapima akili. Wengine ni Wendawazimu

    " imagine Imenichukua wiki 3 niweze kupanga hizi games mbili za leo mpaka zika tick ilikuwa ngumu sana. Demu mmoja akiwa free mwingine yupo tight. Yule akiwa free huyu yupo period.. Hatimaye leo zote zikatick. Nikapanga ratiba vizuri ili match zisiingiliane sababu utatumika uwanja mmoja...
  13. Chizi Maarifa

    Huu ni Wendawazimu tu, hakuna kingine

    1. Kuna watu ambao unakuta muda mwingi anautumia kulalamika X ananichukia, Y ananichukia. Anahangaika kutafuta kupendwa. Why unataka upendwe na kila mtu? UMEKUWA PESA? ukijipenda mwenyewe si inatosha? Mi katika maisha nlijifunza kujipenda mwenyewe. Akitokea na mwingine kunipenda nashukuru na...
  14. Komeo Lachuma

    Ni Wendawazimu kujificha kwenye Kichaka Cha Dini. Ni kupoteza Uelekeo na kufunika Kichwa Ardhini Ukidhani wenye akili Hatukuoni

    assalaam alaikum wa rahmatullahi wabalakatuh... huu naandika nikiwa nimekasirishwa na matukio ya watu kadhaa kuamua kujificha katika dini ili kudendeleza tabia cao chafu za njaa, unafiki na chuki. ni aibu kuwa sasa hivi kama Mtu atamkosoa Rais Samia itadaiwa ni sababu ya Dini yake. Huu ni...
  15. Lycaon pictus

    Huu ni wendawazimu

  16. Mwamuzi wa Tanzania

    Katika uwendawazimu uliofanywa na watu wasio wendawazimu ni 'Kupita Bila Kupingwa' kwenye chaguzi chini ya awamu ya 5

    Mimi nikiulizwa nitaje uwendawazimu uliofanywa na watu wasio wendawazimu nitataja vihoja vya chaguzi mbili tatu ambazo wagombea kutoka chama cha Mapinduzi (CCM) kupita bila kupingwa. Ule ulikuwa ukichaa kamili uliofanywa na watu wasio vichaa.
  17. Mshana Jr

    Vichaa huona nini?

    Naumia sana ninapomuona mtu mwenye matatizo ya akili'(ufahamu), wengine huita vichaa ama wendawazimu. ... Baadhi yetu tuna tabia ya kuwafukuza na wakati mwingine kuwapiga kabisa. KUMBUKA! Hawa nao ni binadamu wenye ndugu jamaa na marafiki! Wengine wana watoto... Ni jambo la kijamii...
Back
Top Bottom