wenezi na uchawa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Pre GE2025 Katibu CCM, Iringa: Wenezi acheni kuwa Machawa na kubeba Mabegi ya Wagombea

    Katibu wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Wilaya ya Iringa Vijijini, Sure Mwasanguti, amewataka wenezi wa chama hicho kuzingatia kanuni na miongozo ya CCM na kutokujihusisha na masuala ya kuwa machawa wa wagombea na kubeba mikoba yao kabla ya muda wa kikanuni. Mwasanguti ameyasema hayo katika semina...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…