Watu 10 wakazi wa Sumbawanga mkoani Rukwa wamefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Sumbawanga kwa kosa la uhaini na kuzuia Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2025, makosa ambayo wanatuhumiwa kuyafanya kati ya mwezi Machi mpaka Oktoba 30, 2025.
Akisoma mashitaka hayo, Wakili wa serikali David Mwakibolwa...