Wenye akili ambao hawazitumii akili zao km watu wengine walivyotarajiwa.
Wanaitwa Washamba.
Wanadharauliwa.
Wanaonekana hawafai kwenye jamii wanayoishi.
Hawasikilizwi hata kwenye kikao cha familia. Wakitaka kuchangia popote kwenye kikao wanaambiwa subiri amalize yule pale kichwa panzi mmoja wewe...
Jf, kuna watu wametu-inspire, mambo mengi bila hata wao kujua. Kupitia mada hii wataje/mtaje member, aloku-inspire ktk jambo fulani.
LIST YANGU:
1. WALONI-INSPIRE KTK SANAA YA UANDISHI
Robert Heriel Mtibeli, MALCOM LUMUMBA, yoga, Nifah, Da'Vinci.
2.WALONI-INSPIRE KTK UCHESHI
Ushimen, KENZY...
Vilaza ndo utawakuta gyms wanakuza vidali,shingo,mgongo,Makario,mapaja na wanafanya kegel
Watu wenye I Q kubwa kuanzia 100+ utawakuta wanafanya squash, jogging , cycling,hiking,ping pong,chess na golf
Vilaza wanakuza mwili,,
Wenye IQ wanakuza Akili
ONLY FACTS
Anayebisha aende hapo Zanzibar nauli ni ndogo tu kwenda na kurudi. Unakwenda asubuhi mchana unafanya tafiti zako jioni unarudi
Huduma zote za afya hasa zile za msingi au zile za umuhimu zaidi Zanzibar ni bure kabisa.
Zanzibar mwanamke anapokwenda zahanati, kituo cha afya au hospitalini...
Serikali imejikita kuhakikisha inapunguza bei ya mitungi ya gesi ya kupikia na kutoa ruzuku ya asilimia 20 ya mitungi hiyo Ikiwa ni sehemu ya kutekeleza Mkakati wa Taifa wa Matumizi ya Nishati Safi ya Kupikia kwa mwaka 2024-2034.
Naibu Waziri wa Nishati Judith Salvio Kapinga amesema hayo...
Ni ajabu kuona Afrika kuwa ni bara lenye rasilimali nyingi, tukiwa na ardhi yenye rutuba, madini, mafuta, na nguvu kazi kubwa ila masikini upande wetu Mungu katunyima viongozi wenye kujua waafrika tunataka nini.
Afrika ni bara ambalo limekuwa likitegemea misaada kutoka nchi za Magharibi...
Tanzania kuna uhaba wa WATU wenye potential haitokaa itokee hii nchi isonge mbele.
Angalia majina yanayotawala katika siasa ni yale yale iwe upinzani au sisiemu.
Watu wenye akili utawatambua tu namna walivyo serious kwenye mambo ya msingi yanayohusu nchi.
Humu kugonga meza hovyo hovyo kama wendawazimu walio changanyikiwa huwezi kuta hawa watu wanafanya.
Makelele ya kijinga yasiyo na tija huwezi kuyasikia humu.
Vituko vya kijinga ni ngumu...
Nikitembea katika Jiji la Dar es Salaam na maeneo mengi ya Tanzania jambo kuu linalonijia kichwani ni kwamba, Tanzania tutapata maendeleo ya kweli pale tu tutakapopata Viongozi wenye akili na wasioendekeza rushwa.
Haiingii akilini kwa upana wa kujenga barabara uliopo kati ya Gongo la Mboto...
Ukweli ndo huu wewe kama unajiona unapendwa mwambie wife naomba tuuze hii nyumba au kitu chochote Cha thamani. Akiuliza sababu mwambie nadaiwa nilikuwa nimekuficha Kwa muda mrefu.
Kaa na msimamo huo hata wiki Kisha leta wateja wa mchongo waje wazuge zuge kununua Kisha mshindwane bei
Utaona...
Yatupasa Sasa
Ili kuisaidia nchi ni lazima.kwanza kuhakikisha
Machawa
Wanafedheheka
Wakomeshwa utopokwaji bila kutumia akili .
Tukifaulu hapa
Wale Wajanja wajifichao
Wenye kuwatanguliza Machawa mbele na watatoweka .
Kisha tunasimamia Sasa Good Governance.
Kwa Hali hii tutakuwa msaada kwa...
Yanga wamefanya maamuzi ya kitoto sana yote yamesababishwa na ombwe la uongozi sababu mpaka sasa hazijawekwa wazi wanachama na mashabiki wao kwakuwa ni empty up stairs wameshindwa kuhoji wala kutaka kujua sababu.
Tuionayo wengi ni kupoteza michezo miwili mfululizo wamesahau msimu uliopita...
"Kama tunaambiwa Dunia inazunguka kwa kasi ya 1,674km/saa, kwanini ndege au helikopta hazipai juu, zikaganda na kusubiri sehemu inapohitaji kwenda ifike kisha itue?"
Nadhani swali limefanana hivi; kama Dunia inazunguka kasi hiyo, kwanini binaadam akiruka anatua palepale na si sehemu nyingine...
Hivi kwa Maisha magumu hasa ya Kijijini ya kuanzia Wazazi na Watoto (hasa wa Shule) inawezekana kweli Mtoto Mdogo (Mwanafunzi) ambaye katoka Kwao labda hata hajanywa Chai na hajui Mchana wake utakuwaje akirejea akapata Uthubutu wa kunipa Mimi GENTAMYCINE Zawadi ya Shilingi 50 za Kitanzania na...
MEXICO CITY - Mexico imetangaza rasmi mabadiliko makubwa katika Mahakama ambapo pamoja na mambo mengine Majaji sasa watapatikana kwa kupigiwa kura tofauti na utaratibu wa awali wa kuteuliwa.
Chanzo: habarileo_tz
Ngoja sasa nifanye tu Mpango niende Kuishi nchini Mexico na nihame Taifa ambalo...
CCM imejijenga kuwa chama cha kisiasa chenye historia ndefu na mchango mkubwa katika kuleta maendeleo ya kijamii, kisiasa, na kiuchumi. Watu wengi nchini wanaona kuwa CCM imeleta amani, umoja, na utulivu tangu nchi ipate uhuru mnamo mwaka 1961. Kwa hiyo, upendo au kuunga mkono CCM unaweza kuwa...
1. Husonga Mbele. Huwa hawapotezi muda kujisikitikia na kujipetipeti.
2. Huyapokea Mabadiliko.Huyakaribisha mabadiliko kwa mikono miwili
3. Huwa Wenye Furaha. Hawapotezi nishati zao kwenye mambo wasiyoweza kuyadhibiti au kuyatawala(yaliyo nje ya uwezo wao).
4. Ni Watu Wema, wapenda haki na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.