Vijana nafasi yetu iko wapi? Sijawai kuona kijana mwenye umri Kati ya miaka 18-30 akiteuliwa na Rais kuongoza taasisi yeyote ya umma!
Wazee wa miaka 70 bado wapo serikalini wanabadilishwa kutoka huku kwenda kule.
Imagine IGP mstaafu anakula Tena shavu, Waziri mkuu mstaafu anakula Tena shavu...
Wanabodi,
Huko nyuma niliwahi kutoa wito wa Political Tolerance kwa vyama na wanasiasa tunaotofautiana kwa kubishana bila kugombana au kutukanana!
Hili ni bandiko la kutoa wito wa religious Tolerance kwa imani za wengine hata kama hatuziamini.
Usikosoe jambo lolote la kiimani la imani isiyo...
Mchungaji Dickson Kabigumila, amekemea kipindi cha Mr Right kinachorushwa na channel iliyoko kwenye king'amuzi cha startimes. Amesema katika kipindi hiko wanawaka kwa wanaume hutafuta wapenzi ambao amesema njia hiyo inaua maana ya ndoa kwa kuwa ni uchafu.
Mchungaji amesema kama TCRA wanahusika...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.