Habari za jumapili wana jf,
naomba kuwauliza wenye magari yenu hivi mkiwa mnapita kwenye vituo mkakuta watu wamesimama huwa mnagueza shingo zenu kushangaa nini?
mnahisi kuna watu mnawajua?
mnaangalia kama kuna watu mnaweza kuwapa lift?
au mnatushangaaa kwanini hatuna magari? au tunaonekana...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.