wenye umri

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Paspii0

    Ndoa za vijana wa kiume na wenza wenye Umri mkubwa kuwazidi!.

    Watu wanaposema ‘ndoa ya kale,’ najua wanamaanisha ‘mapenzi ya kipekee.’ Sasa, nini kinatufanya tuone kuwa kupenda Mshangazi ni jambo la ajabu? Labda ni wakati wa kufikiria upya, kwa maana umri ni namba tu!,Kwa nini tupoteze muda tukisema ‘umri ni kikwazo’? Wakati mwingine, mapenzi ya kweli...
  2. N

    Wenye Diploma na wenye umri Kati ya 26-30 UHAMIAJI wapeni ruhusa na wao waombe nafasi Kigezo kiwe mwisho 30 Tafadhari

    Wenye Diploma na wenye umri Kati ya 26-30 UHAMIAJI wapeni ruhusa na wao waombe nafasi Kigezo kiwe mwisho 30 Tafadhari .. Wenye mamlaka tafadhari tunaomba mliangalie hili . Siku ya tarehe 29 November 2024 KAMISHNA JENERALI WA UHAMIAJI,MAKAO MAKUU YA UHAMIAJI - DODOMA. Alipitisha / kuruhusu...
  3. Mwizukulu mgikuru

    Kwanini vijana wengi wenye umri (22-30) wanaoishi mkoani Mwanza ni washamba

    Nimekuwa nikifanya ishu Na harakati mbalimbali Na watu tofauti hasa vijana, lakini nimekuja kugundua vijana wengi wa mwanza wenye umri ( 22-30) ni washamba sana, waoga wa maisha yaani hawajiamini kabisa hasa unapompa Dili ngumu, Wana tamaa sana hasa Na vijipesa vidogo vidogo, Na wakivipata...
  4. Azoge Ze Blind Baga

    Rafiki zangu wengi wenye umri wa miaka 35 mpaka 37 ndoa zao zimevunjika nyingine zipo ICU

    Kama mada inavyojieleza Hii hali imenishangaza sana. Nina marafiki wengi wa kike na kiume wenye umri unaocheza miaka 35 mpaka 37 wengi wao ndoa zao zimevunjika na nyingine zipo ICU Wengi wa marafiki hawa walioa baada ya kumaliza vyuo tena kwa mbwembwe nyingi leo hii ndo zimesambaratika na wengi...
  5. Pdidy

    Wanaotafuta wachumba njoooni hukuu na wale wenye umri mkubwa waume wapo kazikwenu

    Jana nilikuwa sehemu ya kinywaji nkaumia sana kuona mabinti 3 niliosoma nao wakinywa kama wanataka kwenda mwezini walipoanza kulewa tukaanza mazungumzo longtym nk.. nkauliza amjaolewa mpaka sasa jaman ndoa tatizo ndoa sugu hataree wwtote waliishia embu tunywee pombee bahaanaa hapa kama unataka...
  6. GENTAMYCINE

    Wakati Rais Ruto wa Kenya akiwataka Maafisa wa Serikali wenye Umri wa miaka 60 Kustaafu, mwingine duniani anawapa Uteuzi ili wamsaidie Kumdanganya

    Rais Ruto anatakiwa aje kujifunza nchini Tanzania ambapo Maafisa wote wenye huo Umri wa miaka 60 hakuna aliyeko bado Serikakini katika Utumishi wa Umma na kwamba Waajiriwa wote Tanzania ni Vijana watupu wa kuanzia miaka 25 hadi 45 walioko huko. Na ndiyo maana Utawala wa Rais Samia unafanya...
  7. LIKUD

    Mabinti wenye umri kati ya miaka 18 -22 ni tiba Mujarab kabisa ya tatizo la msongo wa mawazo kwa wanaume

    Kama wewe ni mwanaume wa age 30+ umeoa au umezaa na mwanamke/wanawake na wanakupa stress za mapenzi kama vile unahisi wana flirt na michepuko au mmeachana na ex wako ame move on, etc, halafu kwa sababu hiyo eti umepatwa na msongo wa mawazo basi Mimi NINAKUTUKANIZIA MAMA AKO MZAZI. Kosa lako...
  8. W

    Kuna ongezeko kubwa la maambukizi ya VVU kwa wasichana wenye umri wa miaka 15-24 Tanzania

    Maambukizi ya VVU miongoni mwa wasichana wenye umri wa miaka 15-24 yameongezeka kwa kiwango cha kutisha, kwa mujibu wa Tume ya Kudhibiti UKIMWI Tanzania (Tacaids). Kulingana na takwimu, maambukizi ya VVU kwa wasichana katika kundi hili la umri yameongezeka kutoka asilimia 14 katika kipindi cha...
  9. F

    Mama Samia : Utafiti unaonesha Zaidi ya nusu ya Tanzania wenye umri wa kuoa au kuolewa hawajaingia kwenye ndoa . Je sababu yako ni nini ?

    Ameyasema hayo leo Jumapili, Januari 21, 2024 alipokuwa akizungumza kwenye Ibada Maalumu ya kumuingiza kazini Mkuu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Dk Alex Malasusa iliyofanyika katika viwanja vya Kanisa Kuu la Azania Front, Dayosisi ya Mashariki na Pwani. “Kwa wakazi wa...
  10. M

    Wenye umri wa miaka 35 hamjaoa na hamna hamu ya ndoa njooni tujadili

    Sasa nina miaka 35 sipati hamu kabisa ya kuoa na kuishi na mwanamke, labda aje tu nichaape aondoke. Ziko shida nyingi na hatari nyingi ninazoweza kupata kwa kutoishi na mwanamke, kiufupi sina sababu ya msingi ya kuwa bachela hadi sasa. Hakuna kitu nakerwa kama kulizwa naoa lini , current...
  11. Bridger

    KWELI Asali ni hatari kwa watoto wenye umri chini ya mwaka mmoja

    Asali ni chakula kinachotumika kama dawa ya magonjwa mengi. Hutibu vidonda, kikohozi, huondoa sumu mwilini, ni chanzo bora cha nishati pia hutumika kwa kazi nyingi za urembo. Ukipita mtandaoni utaona baadhi ya makala zikiweka marufuku ya kuwapatia watoto wachanga asali. Jambo hili linaleta...
  12. BARD AI

    Serengeti Breweries kudhibiti wanywaji wenye umri mdogo

    Tanzania ni miongoni mwa nchi za Afrika zenye kundi la watu wenye umri mdogo wanaotumia pombe kwa kiwango kikubwa, wakiwamo wanafunzi. Hivyo, Kampuni ya Bia ya Serengeti (SBL) imezindua programu ya kupambana na unywaji pombe kwa watu wenye umri mdogo, ikilenga kudhibiti tabia hiyo. Utafiti...
Back
Top Bottom