Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, amefanya mabadiliko katika safu ya uongozi kwa kuwahamisha wakuu wa wilaya wawili na kuteua viongozi wapya kwenye nyadhifa mbalimbali.
Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Katibu Mkuu Kiongozi, Balozi Dkt. Moses Kusiluka...