Wanawake ukifikiria unashindwa kuelewa hawa watu akili zao zinafanyaje kazi, zinazunguka ant-clockwise ama nini?
Nilikua na mpenzi wangu, akawa ananichukulia poa, nikajua huyo ana mwanaume mwingine anaempa kiburi tu, sikujali sana, kapigwa mimba huko na mshikaji kakataa mimba, nashangaa akaanza...