Wakuu, ni matumaini yangu kuwa hatujambo wote!
Yawezekana nikawa mgeni, lakini ninastaajabu Sana ninaposikia eti mtu yupo katika ndoa na anabakwa na mwenza wake waliojenga ndoa pamoja!
Niliziona taarifa katika tovuti ya BBC, zikimwelezea mwanaume mmoja ambaye alikuwa akielezea kwa maskitiko...