Brown (43) ambaye alikuwa analipwa mshahara wa Pauni 50,000 (Tsh. Milioni 145) kwa wiki ametangaza hali hiyo Mahakama Kuu ikiwa ni mwaka mmoja tangu kuvunjika kwa ndoa yake.
Nyota huyo aliyedumu United kwa miaka 15, na kucheza mechi 23 za timu ya Taifa ya England aliondoka katika nyumba...