Spika wa Bunge la Kaunti ya West Pokot, Fredrick Kaptui Plimo, ameagizwa kufika mahakamani kujibu mashtaka yanayohusiana na madai ya wizi wa zaidi ya KSh260 milioni kutoka kwa chama cha akiba na mikopo cha Eco-Pillar SACCO.
Katika taarifa iliyotolewa Alhamisi, Oktoba 29, 2026, Ofisi ya...