Serikali ya Wezi, Taifa la Waliodanganywa S01 Episodi 01
*********
Ni Alfajiri hapa Mwiki,Kasarani jijini Nairobi. Alfajiri hii ni kama zile alfajiri nyingine nyingi za mwaka. Alfajiri hii haifanani na zile alfajiri za mwezi Julai. Julai, mwezi ule kila mtu analalamika kuwa baridi kawa baridi...