Msanii Jide Jaydee ameweka wazi kuhusu kupoteza tuzo zake 22, ambapo 10 zilivunjwa na mtu, na 12 ziliibiwa na wezi.
Jide kupitia mtandao wake wa X amesema,
"Matukio yalioniumiza mwaka jana ni Tuzo zangu 10 zilivunjwa na mtu na nyingine 12 kuibiwa na wezi. Nawaza sijui walienda kumuuzia nani ...