Habari,
Namba kuuliza, nimekuwa nikifungiwa Acc yangu ya wasap kila mara napotumia mtu text. Hii imeanza kutokea baada ya kubarisha simu, nashindwa kuelewa kama shida ni simu au nini!
Maana wao wananiambia nimetuma spam massage but nakua sijatuma na sina magroup yoyote kwenye simu yangu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.