whatsapp kufungiwa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Msaaada: Nini kinafanya WhatsApp yangu ifungiwe kila wakati?

    Habari, Namba kuuliza, nimekuwa nikifungiwa Acc yangu ya wasap kila mara napotumia mtu text. Hii imeanza kutokea baada ya kubarisha simu, nashindwa kuelewa kama shida ni simu au nini! Maana wao wananiambia nimetuma spam massage but nakua sijatuma na sina magroup yoyote kwenye simu yangu...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…