Nimekusubiri sana mpenzi, mke na mama wa watoto wangu. Uko wapi mbona umechelewa sasa mamangu? Ujitokeze tuitengeneze familia. Mwanamke uliye na ndoto ya kuwa na mume na kuwa na familia yenye upendo na amani unakaribishwa.
Sifa zako, uwe mcheshi, umri kuanzia 26-30 years, elimu angalau kuanzia...