Wanabodi,
Hii ngoma mpya ya Whozu na Zuchu mmeisikia lakini? Kama una mwanao pembeni hakikisha unamvalisha headphone everytime wimbo huu ukiwa unapigwa huko mtaani.
Lugha iliyotumika ni kali mno hasa kipande anachoimba Zuchu.
Sijajua walikuwa wanalenga lakini kwa kuwa hawa ni wasanii wa CCM...