Kuna bus moja huko kanda ya ziwa sitalitaja ila sipandi tena kutokana na kutuona abiria ni wajinga.
Baada ya kukuta kampuni niliyoizoea kujaa nikaenda kampuni nyingine nikaambiwa imebaki VIP na nikatajiwa nauli ambapo inaongezeka elfu 15 kutoka ile ya kawaida. Nikawauliza kuna huduma gani za...
Mgombea nafasi ya Uenyekiti wa Mtaa wa Msimbazi Bondeni, Kata ya Mchikichini jimbo la Ilala jijini Dar es Salaam kupitia chama cha ACT Wazalendo, Risasi Semasaba ameahidi kufunga huduma ya mtandao ya Wi-Fi kwa ajili ya wananchi watakaofika katika ofisi za Serikali za Mitaa kupata huduma.
Soma...
Natumia simu brand ni
oppo a 31 , Leo nipo job imegoma Ku connect WiFi sijajua shida nini wenzangu simu zao wanatumia saf mmoja ana oppo A8 lakini yangu ni big no ukiwasha ina connect then later inakuja neno
no data connection sijajua natatua vipi wakuu msaada please 🙏 kumbuka WiFi ipo na...
Kitambo kidogo mtandao wa Internet ulikuwa anasa ila kulingana na maendeleo ya sayansi na teknolojia mtandao umekuwa moja ya hitaji la binadamu.
Kulingana na uchumi wa Afrika bado gharama za internet ni kubwa sana kulinganisha na hali za maisha mtaani.
Mtandao wa Swahili Times ukimnukuu...
Wanasema kizuri kula na nduguyo.
Nimehamia mtaa fulani hivi wa raia wamejifungia kwenye mageti yao.
Sasa huku fibre hakuna ila raia wamefunga superkasi.
Katika kuhangaika nikapata tool moja inaitwa wifite.
Aisee haka kadude ukiscan kanakuletea wifi zote zinazopatikana na password zake ndani ya...
Habari za muda huu wakuu?
Kwa watumiaji wa Home internet (Wi-Fi). Hivi malipo hufanyika kwa mwenendo upi?
a) Nilifikiria huenda wana count idadi ya data unazotumia, hivyo unazilipa mwisho wa mwezi. Mfano GB 20 * 2500, hivyo kulipia 50k
Au (b) Mnakubaliana kiwango fixed cha malipo bila kujali...
Mitandao mingi ya Umma ya Wi-Fi huwa na usalama mdogo kiasi cha kufanya watu wengine wanaotumia mtandao huo kuwa na uwezo wa kufikia Shughuli na Taarifa zako Binafsi kwa urahisi.
Wi-Fi huweka wazi anuani yako ya Kimtandao, Sehemu uliyopo pamoja na Mambo unayofanya ukiwa Mtandaoni.
Unashauriwa...
Habari wana jamii forums poleni na majukumu, Mimi ni member Mpya na ni post yangu ya kwanza. Natamani kujifunza kitu kuhusu hili swala kwa wanaofahamu.
Kwa Sasa gharama za bundle ziko juu sana karibu kila mtu anatafuta namna ya ku-solve au kutatua, wengi now days tunatumia kwa mawasiliano...
Salaam JF Tech,
Kama kichwa cha habari hapo juu kilivyo, simu yangu ya Samasung inakataa kutafuta au kunasa Wi-Fi.
Simu zingine zinakubali.
Tatizo nini? Msaada.
Waziri wa Habari, Mawasiliano na Uchumi wa Kidijitali, Eliud Owalo amesema lengo la kutoa Wi-Fi bure kote nchini ni kukidhi hitaji hilo muhimu kwa wananchi.
Amesema "Serikali inaamini katika uwekezaji wa Kidijitali kama njia ya kuwezesha Ujuzi wa Vijana, pia, tutatambua Mapungufu ya Ujuzi na...
Wakuu Nawasalimu kwa jina la jamuhuri ya muungano Tanzania.
Twende kwenye mada wakuu nilikua naomba kujuzwa tofauti ya 2.4GHz WLAN na 5GHz WLAN na kazi zake kwa matumizi ya Wi-Fi maofisini na nyumbani
Mara nyingi mabasi mengi kama sio yote yana stika pembeni zikionesha huduma wanazotoa ni FREE WI-FI na FULL AC lakini ukiingia hakuna hata kimoja.
Inawezekana wakati likiwa jipya lilikuwa na huduma hizo (kwa Wi-Fi) sina uhakika sana maana sijawahi kutumia hata siku moja hata kwenye basi jipya...
Habari za jioni waungwana.
Kama nilivyoeleza hapo juu kwenye heading hio, Nimefanya kazi zote hizo kwa muda tofauti tofauti na bado hahusika nazo mpaka Sasa.
Nimekuja kwenu kuomba msaada wa kampuni, shirika, mtu binafsi atakayeweza/kuwa tayari kufanya kazi na mimi.
Napatikana mkoa wa...
Habari za majukumu wadau.
Ndgu yenu simu yangu hii napata mkanganyiko kutumia wi-fi.
Naomba mnijuze nifanye utundu gani niwe najiunga aisee, sometimes hata mtu akiniwashia hotspot basi mpaka kuunganisha hapo ni kisanga kinoma. Mpaka sijui uscan QR code, sasa ni freewife ya mahali fulani labda...
ZINGATIA: Zima 'Wi-Fi' na 'Bluetooth' wakati unapokuwa hutumii.
Kufanya hivyo itakusaidia kutounganishwa na mitandao isiyo salama pamoja na kutunza chaji kwenye kifaa chako cha elektroniki
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.