wifi

  1. Je, Kuna Wataalamu wa Wifi Hacking Humu? Wadau, Toeni Ujuzi!

    Habari za muda huu wakuu wa JF! Najua hapa JF kuna vichwa vyenye akili kali na ujuzi wa kila aina, lakini leo nimekuja na swali moja nyeti je, kuna mtu humu anayeweza kuhack WiFi? Sio kwamba ni nia mbaya, lakini kuna wakati mdau unakaa sehemu, una bando limeisha, na unashangaa tu majirani...
  2. R

    Operesheni tokomezeza flash disk na mawaya, Nawezaje kutazama video za kwenye computer kwenye Tv kwa kutumia wifi ( wireless )

    Nahitaji kuifanya Tv yangu iwe kama youtube au Netflix lakini niweze kustream video kutoka kwenye laptop yangu bila bando. Laptop nitakuwa naiacha chumbani, niweze kuchagua video moja kwa moja kwenye TV bila kugusa laptop. Nimechoka kudownload videos kwenye pc kisha niiingieze kwenye flash...
  3. Jamani kaka yangu; hayo unayomfanyia wifi yangu, Mungu anakuona!

    Kila siku wifi anaamka alfajiri, anakuchemshia maji ya kuoga. Anafanya usafi wa nyumba, anapika chai, anaogesha watoto. Anaenda kutafuta mkaa, anahakikisha familia imepata chakula. Sokoni anakazana—anauza maandazi ili watoto wapate ada ya shule maana wewe huwalipii. Jioni inamkuta bado kwenye...
  4. R

    Sinza duka linafunguliwa saa 5, kuna T shirt 4, Jinsi 3 ila ndani full AC, Wifi, Dstv, Nje imepaki ndinga ya milioni 50+, wenzetu wanafanye?

    Kwani wao waweze wana nini na sisi tushindwe tuna nini, tupeane madini please. Huku wengine tunawahi kuamka kwenda makazini, vibaruani, madukani, maofisini, n.k. kuna wenzetu wenye frem Sinza wanaamka saa tatu jua lishachomoza Maduka yanafunguliwa saa nne hadi tano, ajabu vitu vinavyouzwa ni...
  5. D

    Natafuta sehemu yenye free WiFi Dar es Salaam, nayoweza kufanya online meeting

    Natafuta space ambayo kuna utulivu na kuna unlimited internet Dar es Salaam. Iwe coworkspace ya kulipia au naweza kukaa kama mteja wa vinywaji lakini nitaenda na laptop yangu kwa ajili ya kufanya online meeting. Naomba suggestions.
  6. U

    Poket wifi ya halotel

    Wakuu naomba kw a yoyote alie wahi kutumia poket wifi y halotel unlimited, kwani muda wowote ule nitakwenda kununua naomba ushauri kuhusu speed yake, shukran wakuuu
  7. T

    Pocket WiFi 4G – Internet Yenye Kasi na Portable Popote Ulipo

    Habari njema kwa wote! 🎉 Tunawaletea Pocket WiFi Portable yenye kasi ya 4G, inayokuwezesha kufurahia internet popote ulipo! 🔥 👉 Bei ya WiFi: Sh. 50,000 tu! 👉 Ukisajili, unapata GB 20 BURE kwa mwezi mmoja. BEI ZA VIFURUSHI 💻 Sh. 10,000 – GB 10 💻 Sh. 20,000 – GB 20 💻 Sh. 30,000 – GB 25 💻 Sh...
  8. Kuna binti anataka kufanya partnership (biashara) na wifi yake (mke wa kaka yake)

    Hapa ushauri unahitajika maana nimeshauri mpaka nimechoka. Kuna binti kaja kuniomba ushauri kuna biashara anatamani kufungua ila wifi yake yaani mke wa kaka yake anatamani kufanya naye partnership. Watu wenye uzoefu na biashara za kufanya na ndugu hili swala mnaweza kushauri vipi.
  9. Kwanini hakuna "Unlimited Data" pasipo kununua kifaa cha ziada (WiFi)?? Au mimi ndio mshamba??....

    Good Afternoon Everyone. Eti wakuu, kwanini mtu akitaka kupata "Unlimited Data Access" ni mpaka anunue kifaa cha ziada kama vile Router?? Kwanini mpaka utumie WiFi?? Kwani kwa kutumia smartphones zetu hizi hizi pamoja na simcards za Vodacom, Tigo Yas, Airtel pamoja na Halotel hatuwezi kuwa na...
  10. Tengeneza hadi 50,000/= kwa siku kwa kufanya biashara ya kuuza internet kupitia WiFi kwenye maeneo yenye mkusanyiko

    Habari wanajanvi Naomba niwapeleke Moja Kwa Moja kwenye lengo husika kama kichwa kinavyosema. Kuna hii fursa ambayo sisi tumeona tuiite fursa mpya kutokana na uhitaji mkubwa ulionao na upatikanaji wake mdogo. Baada ya kufanya tafiti na kutenga muda mrefu wa kujifunza kuhusu uwekezaji au...
  11. Nauza Universal wifi router zinafanya kazi na laini ya mtandao wote Ule

    Hi Ni router za ukweli sana hauhitaji router ya kila kampuni insupport mtandao wowote ule online kama unapata si chini ya 200,000 hata kwenye soko la china.. Mimi nauza nusu bei yaani 120,000 pekee mpya kabisa kuanzia mbili kuna discount. Tupo Dar, Arusha na Nairobi
  12. U

    Karibuni kwenye Pub yangu inaitwa Runway Pub yangu iliyopo Kinyerezi Mahakamani

    Karibuni kwenye pub yangu iiyopo kinyerezi mahakamani (mnadani). Miongoni mwa huduma zetu ni hizi 1) Free WiFi 2) Vinywaji vya kila aina 3) Music 4) Shisha nk Pia tuna karioke kila siku ya jumapili. Karibui sana Kwa maulizo 0746501050
  13. Je, ni jinsi gani naweza kuaccess internet bila kununua vocha au kutumia wifi?

    Habari wakuu! Naona baadhi ya watu wanashinda Jf siku nzima ila mimi mpaka nikanunue vocha au kutumia wi fi . Hivyo basi wataalamu wa hivi vitu naomba msaada wa jinsi gani naweza kuacess internet bila kutumia Vocha au wi fi.
  14. Kuepuka kulipuliwa kwa kutumia simu yako, tumia WiFi na BLUETOOTH

    Ukiwa ni mtumiaji wa simu za mkononi na mitandao ya kijamii ni vigumu kujilinda usitambulike wewe ni nani na upo wapi iwapo tu kuna taasisi ina shida na wewe kwa sababu yoyote ile. Hata hivyo kufuatia mashambulio ya kigaidi ya Israel ya kielektronik huko Lebanon inabidi watu tujiongeze ili iwe...
  15. B

    Jipatie Universal 4G LTE MiFi router

    Heshima yenu wana Jamvi. Ninauza Universal 4G LTE MiFi router(router ya 4G inayoingiza line mtandao wowote. Router hii ina sifa zifuatazo Inaingiza line zote Inaruhusu 3G au 4G kulingana na eneo ulipo Speed mpaka 150Mbps Betri yenye uwezo 30000mAh, betri masaa mpaka 10 Inaweza kuunganisha...
  16. Akikwambia 'msalimie wifi', imeisha hiyo mtu wangu

    Dem ndo mmejuana juana siku moja mbili tatu hivi. Hujaweka clear intention yako kwake ila mkikutana au mkipigiana simu mnaongea mnafurahi. Hata kama mmejuana muda mrefu. Ila hamjuani kiundani hasa katika eneo la mahusiano. Ni workmate wako pengine, ila recently mmekuwa na ukaribu sana na utani...
  17. Wanachuo MUHAS wanazimiwa AC na WiFi Ila wakiwemo wasudan zinawashwa

    Hii kali sana kweli ngozi nyeusi ni nyeusi tu.. Rafiki yangu aliepo MUHAS, katika story za hapa na pale akawa ananielezea kuwa licha ya JOTO la Dar hili lote madarasa wanayotumia kusomea na yenye WiFi huwa yanawashwa AC tu ikiwa hawa wanafunzi wageni wa SUDAN wakiwa wanafundishwa .. (ikumbukwe...
  18. O

    Kesi ya mjane wa bilionea Msuya: Jinsi alivyojibu tuhuma za kumuua wifi yake

    Dar es Salaam. Mjane wa aliyekuwa mfanyabiashara wa madini mkoani Arusha, marehemu Erasto Msuya, maarufu kama Bilionea Msuya; Miriam Steven Mrita, ameieleza Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam kuwa hakuhusika na mauaji ya wifi yake kwani hata sababu inayotolewa si ya kweli. Miriam alitoa...
  19. Pocket WiFi/Mifi kutoka Airtel

    OFA OFA OFA!!!!!! Jipatie Pocket WiFi kutoka Airtel inayo unganisha vifaa zaidi ya 10 na kasi Hadi Mbps 30, pia utapokea offer ya GB 20 mwaka mzima Vifurushi: ⚡Elfu 10 Gb 10.5 ⚡Elfu 20 Gb 22 ⚡Elfu 30 GB 35 ⚡Elfu 50 GB 75 ⚡Elfu 75 GB 100 ⚡Laki 1 GB 200 📞Mawasiliano 0742772122 ⚖️Vigezo na...
  20. Restaurant gani Dar es Salaam ninaweza kupata WIFI yenye kasi zaidi?

    Za sahizi binadamu wenzangu. Nipo Dar es Salaam Nilikuwa nauliza ni restaurant au hotel gani ninaweza kupata WIFI yenye kasi sana na ambayo ina GB nyingi nina ma file ninayotakiwa ku download kwenye PC yangu jumla ni 156GB. Sasa mimi hiyo budget siwezi kuitumia kwenye manunuzi ya bundle za...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…