wiki ya maji

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. B

    Dkt. Samizi aadhimisha mitatu ya mama kwa kuzindua magati ya maji- Kibondo, wiki ya maji

    Alhamisi 21 Machi, 2024 Mbunge wa Jimbo la Muhambwe Dkt. Florence George Samizi amezindua Mradi wa Maji Safi na kisima Cha Maji katika eneo la Malagarasi na Gati la Maji Stendi ya Mabasi katika Uzinduzi wa Wiki ya Maji ambayo inaenda sambamba na Miaka Mitatu ya Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan...
  2. Maji unayotumia ni safi na salama?

    Katika Maisha ya kila siku, Maji hayawezi kutenganishwa na Usafi kwani vyote vina umuhimu mkubwa hususan katika Masuala ya Kiafya. Ugonjwa wa kuhara pekee unakadiriwa kusababisha vifo vya maelfu ya Watoto kila mwaka. Wengi wao ni walio na umri chini ya miaka mitano wanaoishi katika Nchi...
  3. Wiki ya Maji Duniani: Upatikanaji wa Maji safi na salama bado ni changamoto kwa mabilioni ya watu

    Watu Bilioni 1.42 Duniani wakiwemo Watoto Milioni 450 wanaishi katika maeneo yenye hatari kubwa ya upatikanaji wa Maji. Kwa mujibu wa Takwimu za Umoja wa Mataifa, uhaba wa Maji unaathiri zaidi ya 40% ya Watu wote Watu 3 kati ya 10 wanakosa Huduma za Maji safi na salama ya kunywa. Pia Takwimu...
  4. Wiki ya Maji: Charambe, Mbagala wakazi wanapewa maji yasiyofaa kwa matumizi

    Inasikitisha sana kuona wanasherehekea wiki ya maji huku DAWASA ikiuza maji yasiyofaa kwa matumizi ya binaadamu, maji hayo yana kiwango kikubwa sana cha chumvi na harufu ikiashiria kuwa yanatoka kwenye kisima kifupi. Pamoja na chumvi limo pia tope lenye rangi ya njano na kuna wakati maji hutoka...
  5. Leo kilele cha Wiki ya Maji, tuorodheshe changamoto hapa

    Mgeni rasmi Mheshimiwa Rais mahali ni Mlimani City kauli mbiu ni maji chini ya ardhi hazina isiyoonekana. Ratiba ya shughuli hio hapo katika picha. Ushauri wangu mimi kama mdau wa hii sekta nashauri bodi za Bonde ziachane na mapendekezo ya ada mpya na leseni hasa za visima. Wamiliki...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…