Kitu kikubwa nilichokiona kwa Wananchi, kwanza wameweza kuujaza uwanja, lakini sio tu kuujaza uwanja bali mashabiki wengi wametinga uzi mpya.
Tofauti sana na wazee wa ubaya ubwela uwanja waliujaza ila wengi walitinga uzi wa zamani.
Sasa sijui ni uchumi au lile neno sanda limechangia?
Mwisho...
Wananchiiii kwa Mkapa ni burudani na raha tu leo katika kilele cha wiki ya Wananchi.
Tumefunika kelele za makolo wote wapo kimyaa. Wasubiri 8 agosti, 2024 tuwaonyeshe sisi ni wakina nani.
Wakuu,
Kumbe na kwenye soka kiki ni dili!
… Tumewaambia kilele ni August 4, lakini kama ilivyokuwa utamaduni wa Yanga sisi tuna Wiki ya Wananchi ambayo kilele chake ni ndiyo August 4, na hiyo wiki ndiyo inaanza leo (Julai 29, 2024)
Timu itawasili leo saa tisa usiku kutoka Afrika Kusini uwanja...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.