Mwanzilishi wa WikiLeaks Julian Assange
Mwanzilishi wa WikiLeaks Julian Assange kesho Jumatano (26 Juni, 2024) anatarajiwa kukiri kosa la kuvunja sheria za ujasusi za Marekani, katika makubaliano yatakayomaliza kifungo chake nchini Uingereza na kumruhusu kurudi nyumbani Australia.
Assange...
Julian Assange akipanda ndege maalum kuelekea Saipan
Mwanzishi wa WikiLeaks Julian Assange ameachiwa huru usiku huu kutoka gereza la Belmarsh nchini Uingereza ambako amekaa kwa miaka 12. Bwana Assange alikuwa akikaa gerezani hapo akisubiri kupelekwa Marekani kujibu mashtaka ya ubakaji ambako...
Jana mtandao wa wikileaks uliachia baadhi ya taarifa za siri kuhusiana na watu maarufu pamoja na Nchi mbalimbali.
Mwanzilishi wa kampuni ya apple marehemu Steve Jobs alikufa kwa ukimwi. Mimi ndio maana nikiona mwanamke anatumia iPhones sina muda nae wala simtongozi.
Taarifa za siri za serikali...
Waziri wa Mambo ya Ndani nchini humo ameidhinisha kurejeshwa kwa Julian Assange nchini Marekani ambapo mamlaka nchini humo zinamtafuta kuhusiana na nyaraka zilizofichuliwa na mtandao huo mwaka wa 2010 na 2011.
Mnamo 2019 Marekani iliwasilisha mashtaka 17 dhidi yake kwa kukiuka Sheria ya Ujasusi...
Julian Assange amepatiwa ruhusa kumuoa mpenzi wake Stella Moris katika jela ya Belmarsh, BBC imeambiwa.
Mwanzilishi huyo wa mtandao wa Wikileaks na bi Moris wana watoto wawili wa kiume , ambao alisema walipatikana wakati alipokuwa akiishi katika ubalozi wa Ecuador mjini London .
Huduma ya jela...
Mahakama ya Uingereza imekataa ombi la Marekani la kumkabidhi kwake mwanzilishi wa mtandao wa WikiLeaks Julian Assange ili akabiliwe na mashtaka ya ujasusi. Mahakama imeamua kuwa hatua ya kumhamisha Assange, ni "ukandamizaji" kutokana na afya yake ya kiakili. Jaji Vanessa Baraitser amesema...
Brightone Chonjo
Snowden amuomba Trump amuachie Julian Assange kizuizini nchini United Kingdom kabla hajahukumiwa.
Snowden ni mdukuzi (Hacker) ambaye alikuwa ameajiriwa na serikali ya marekani kitengo cha ujasusi yani (CIA) alifukuzwa kazi baada ya ku kopi na kusambaza habari za siri za...
A lawyer for Julian Assange has alleged that President Donald Trump offered to pardon the Wikileaks founder, if he said Russia was not involved in leaking emails during the 2016 US election.
The offer is said to have been conveyed by the former Republican Congressman, Dana Rohrabacher...
Documentary kuhusiana na Julian Assange Muastralia aliyeanzisha Wikileaks www.wikileaks.org
HIS HISTORY
Julian Paul Assange (born Julian Paul Hawkins; 3 July 1971) is an Australian journalist, computer programmer, and the founder and director of Wikileaks. Assange describes himself as an...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.