BASHUNGWA AGAWA MITUNGI YA GESI 300 KWA WANAWAKE NA WENYE MAHITAJI MAALUM
π Kuunga mkono Agenda ya Rais Samia ya nishati safi ya kupikia.
π Karagwe kuwa kinara wa nishati safi ya kupikia.
π Zoezi la ugawaji wa mitungi ya gesi ni endelevu kwa Wanakaragwe.
Waziri wa Ujenzi na Mbunge wa Jimbo la...