Habari zenu,
Leo mimi kama member of JamiiForums nimekuwa na muda kupita ofisi za RITA halmashauri ya wilaya ya Kongwa, kiukweli nimesikitishwa na namna watumishi wake walivyo kosa weledi wa kujituma na kuwasaidia wananchi wake.
Hivi unakuta cheti cha kuzaliwa tu mtu unaambiwa njoo kesho na...