wilaya ya mbozi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mkalukungone mwamba

    Mkuu wa Wilaya ya Mbozi: Mashangazi” acheni kutumia vipato vyenu kuwarubuni vijana kwa lengo la kuwa nao kwenye mahusiano ya kimapenzi

    Wakati mataifa mbalimbaki dunia yakiadhimisha siku ya wanawake Machi 8, Mkuu wa Wilaya ya Mbozi mkoani Songwe Bw. Hamad Mbega, ameitumia siku hiyo kuwataka wanawake wenye umri mkubwa maarufu kama “mashangazi” kuacha kutumia vipato vyao zikiwemo fedha za mikopo, kuwarubuni vijana wenye umri mdogo...
  2. A

    KERO Wauguzi wa Kliniki ya Afya ya Uzazi Hospitali ya wilaya Mbozi wanatudhalilisha

    Wahudumu wa uzazi katika hospitali ya wilaya ya Mbozi, kliniki ya uzazi wanatoa lugha ya matusi sana, udhalilishaji kwa wanawake, mfano mwanamke asipokuja na dela hutukanwa, hufukuzwa mpaka aje na dela. Tafadhali naomba msaada wa kuposti hii ili waweze kuchukuliwa hatua
  3. Roving Journalist

    TANZIA Mkuu wa Wilaya ya Mbozi Mkoani Songwe, Esther Mahawe afariki Dunia

    Mkuu wa Wilaya ya Mbozi Mkoani Songwe Esther Mahawe amefariki Dunia katika Hospitali ya KCMC Mkoani Kilimanjaro kwa mujibu ya taarifa za awali zilizotolewa na ndugu wake wa karibu. RAIS SAMIA ATOA POLE Nimepokea kwa masikitiko taarifa za kifo cha Mkuu wa Wilaya ya Mbozi, Mkoa wa Songwe, Bi...
  4. Stephano Mgendanyi

    Naibu Waziri Dkt. Dugange: Milioni 900 Kukarabati Hospitali ya Wilaya ya Mbozi

    NAIBU Waziri anayeshughulikia Afya Ofisi ya Rais-TAMISEMI , Mhe Dkt. Festo Dugange amesema Serikali katika mwaka wa fedha wa 2023/24 imetenga kiasi cha Sh Milioni 900 kwa ajili ya ukarabati wa Hospitali Kongwe ya Mbozi. Mhe. Dkt Dugange ameyasema hayo leo bungeni jijini Dodoma wakati akijibu...
  5. Stephano Mgendanyi

    Mbunge Juliana Shonza Awapiga Marufuku Wanaotapeli Wajane Wilaya ya Mbozi

    MBUNGE JULIANA SHONZA AWAPIGA MARUFUKU WANAOTAPELI WAJANE WILAYA YA MBOZI "Wanaibuka watu, badala ya kuwasaidia na kuwaunganisha wajane wao wanafanya kuwatapeli na kuwafilisi wajane. Nilipolisikia hilo nimelifuatilia sana, niliwasiliana na viongozi wanaohusika na Masuala ya wajane Wizarani...
  6. Nyendo

    Mkuu wa Wilaya ya Mbozi, Esther Mahawe: Nashangazwa na wanaume wanaojiua kisa mapenzi wakati sensa inaonesha wanawake ni wengi kuliko wanaume

    Mkuu wa Wilaya ya Mbozi, Esther Mahawe amesema anashangazwa na Wanaume wanaojiua kwasababu ya mapenzi wakati Sensa inaonesha kuwa Wanawake wako wengi nchini kuliko Wanaume hivyo wanaweza kuoa zaidi ya Mke mmoja. DC Mahawe amesema hayo leo Jumatatu Mei 8, 2023 wakati wa ziara ya Mkuu wa Mkoa wa...
Back
Top Bottom