Baada ya pilika pilika za mwezi mzima, siku moja unaweza kupanga kutembelea Wilaya ya Mkurunga Mkoani Pwani na kugundua ziwa moja wapo linalopatikana mkoani hapa.
Hili ni ziwa Mansi, linapatikana takribani kilomita 70 kutoka Dar es Salaam. Sio mbali sana na jiji la Dar es salaam na kama...