wilaya ya momba

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. songwe: vivutio vya utalii vinavyopatikana halmashauri ya wilaya ya Momba na sifa zake

    VIVUTIO VYA UTALII VINAVYOPATIKANA HALMASHAURI YA WILAYA YA MOMBA NA SIFA ZAKE MKOANI SONGWE. Momba ni kati ya wilaya Nne zinazo unda Mkoa wa Songwe, ambayo imebahatika kuwa na vivutio vingi vya utalii na vya kipekee hapa nchini Tanzania. Licha ya upekee wake, vivutio hivyo bado vinahitaji...
  2. T

    Naomba kujuzwa fursa za biashara Wilayani Momba kwa mtaji wa milioni 7

    Habar wakuu mm ni mpambanaji nimepata kazi namshukuru Mungu ,nimepangwa Wilaya ya Momba(,Momba Dc), kabla ya hapo nilikuwa nikipambana na mishe mishe nakapata kamtaji as 7 million , sasa naomba yafutayo 1. Kijiji ambacho kimechangamka ambapo naweza kuishi. 2. Fursa za KIBIASHARA 3. Hali ya...
  3. A

    DOKEZO Watumishi wilaya ya Momba tumechoka kunyanyaswa na Mwenyekiti wa Halmashauri

    Habari wakuu, Inasikitisha sana kuona kiongozi wetu badala awe mstari wa mbele kuwajali na kushirikiana na watumishi, yeye amekuwa ndio mtu wa kuwavunja ari, moyo, kukatisha tamaa na zaidi amekuwa ni mtu anayeongoza kutegeneza migogoro hali inayopelekea kuharibu upelekaji na utoaji wa huduma...
  4. Wanachi wa Wilaya ya Momba Wamefurahishwa na Ujenzi wa Barabara ya Ikana - Iyendwa – Namchika Yenye Urefu wa Kilomita 33

    WANANCHI WILAYANI MOMBA WAIPONGEZA TARURA KWA UJENZI WA BARABARA YA IKANA – IYENDWA-NAMCHIKA. Na Mwandishi wetu - Momba Wanachi wa Wilaya ya Momba wameeleza kufurahishwa kwao na ujenzi wa Barabara ya Ikana - Iyendwa – Namchika yenye urefu wa kilomita 33 ambapo hapo awali ilikuwa haipitiki na...
  5. Magodoro 30 (Milioni 2.5) Yagawiwa kwa Wanawake wa UWT Wilaya ya Momba

    MBUNGE CONDESTER SICHALWE AKABIDHI MAGODORO 30 (MILIONI 2.5) KWA WANAWAKE UWT WILAYA YA MOMBA Mbunge wa Jimbo la Momba Mkoa wa Songwe Mhe. Condester Mundy Michael Sichalwe tarehe 26 Julai, 2023 amekutana na Wanawake wa UWT Wilaya ya Momba na kuwakabidhi Magodoro 30 yenye thamani ya Shilingi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…