wilaya ya nyamagana

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mkoba wa Mama

    KERO Mamlaka zitoe tamko kwa walimu wanaovunja vipindi na kupeleka wanafunzi kulima kwenye mashamba yao

    Kumekuwa na utaratibu usio rasmi wa walimu hasa wa shule zilizopo maeneo ya vijijini kuvunja ratiba za masomo na kupeleka wanafunzi kulimia mashamba yao. Mfano shule ya msingi Nyamagana na shule ya sekondari Ngasamo zilizopo halmashauli ya wilaya ya Busega, mkoani Simiyu, hizi ni baadhi tu ya...
  2. K

    TAARIFA KWA TARURA WILAYA YA NYAMAGANA- MWANZA

    Nipende kuchukua nafasi hii kuwashukuru kwa ujenzi unaoendelea ya barabara ya lami hapa Mtaa wa Mwananchi Kata ya Mahina. Mkandarasi JASCO anatakiwa kujenga madaraja madogo yanayoingia kwenye makazi ya wenye nyumba kando kando ya barabara hiyo. Baadhi ya madaraja hayo amekwishayakamilisha na...
  3. J

    Waislamu wagombea Msikiti wa Wilaya ya Nyamagana, Ngumi zaibuka Waumini wadai BAKWATA imeundwa huu Msikiti wa Masjid Noor wameukuta!

    Vurugu zimeibuka Ndani ya Masjid Noor Uhuru st Mwanza baada ya Uongozi wa Bakwata kujimilikisha Msikiti huo na Nyumba zake. Waumini wameadai Masjid Noor ipo tangu kabla ya Uhuru na watautetea usiporwe na Baraza. Inadaiwa BAKWATA ndio inamiliki Hati ya kiwanja cha Msikiti baada ya ile ya awali...
Back
Top Bottom