Nipende kuchukua nafasi hii kuwashukuru kwa ujenzi unaoendelea ya barabara ya lami hapa Mtaa wa Mwananchi Kata ya Mahina. Mkandarasi JASCO anatakiwa kujenga madaraja madogo yanayoingia kwenye makazi ya wenye nyumba kando kando ya barabara hiyo. Baadhi ya madaraja hayo amekwishayakamilisha na...