wilaya ya nyasa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania DC wa Nyasa awataka Wananchi kutambua umuhimu wa Lishe Bora, asema Nyasa bila utapiamlo, udumavu, upungufu wa damu inawezekana

    Mkuu wa Wilaya ya Nyasa, Peres Magiri ametoa wito kwa wananchi kutambua umuhimu wa lishe Bora kwa afya ya mwili wa binadamu kwani ni Msingi wa mambo mengi ikiwemo kufanyakazi na kufikiri sawasawa. Mhe.Magiri ameyasema hayo wakati wa kikao cha tathimini ya lishe kilichofanyika mwanzoni mwa juma...
  2. JamiiForums Tanzania Mkuu wa Wilaya ya Nyasa afunga rasmi mafunzo ya Jeshi la Akiba, asisitiza nidhamu, Weledi, Uzalendo

    Mkuu wa Wilaya ya Nyasa Mhe.Peres Magiri leo tarehe 22 Agosti,2025 amefunga Mafunzo ya Jeshi la akiba yaliyoanza rasmi tarehe 9 Aprili,2025 yakiwa na Wanafunzi 16. Mkufunzi Mkuu wa Mafunzo WOII Makame SA amesema kuwa wanafunzi wamejifunza silaha ndogondogo za kivita kama vile Semi Automatic...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…