Wakuu,
Naona ile idea ya Kizimkazi Festival inazidi kusambaa katika maeneo mbalimbali ya Tanzania.
Baadhi ya wananchi wa Tarafa ya Mwembe Mbaga, Wilaya ya Same, Kilimanjaro, wamejitokeza kushiriki Mwembe Mbaga Samia Day, tukio maalum lililolenga kuhamasisha ushiriki wa wananchi katika uchaguzi...