Nikiwa mmoja wa Watumishi wa Hospitali ya Wilaya ya Tanganyika nashauri Mkurugenzi wa Halmashauri awalipe vijana wanaojitolea pesa zao ili kuhudumia taasisi, wanakaa hadi miezi miwili bila posho kidogo, inayohitajika kadri ya miongozo.
Wanaumia sana namna ya kujikimu wanapanga nyumba, kodi...
https://www.youtube.com/watch?v=gLonjJFJotY
Mkuu wa Mkoa wa Katavi Mwanamvua Mrindoko,amesema kitendo cha wakulima wa wilaya ya Tanganyika kufyekewa mahindi kwenye msimu huu wa kilimo sio maelekezo ya serikali na si haki kufanya hivyo.
Mwishoni mwa mwezi Disemba,2024 baadhi ya wakulima wa...
Hili ni moja ya majengo yanayomilikiwa na Halmashauri ya Wilaya ya Tanganyika zamani Mpanda DC yaliyopo Manispaa ya Mpanda, Jambo la ajabu jengo hili limetelekezwa kwa sababu mazingira yake yanaonekana machafu sana.
Ni aibu kubwa mazingira ya jengo hili kuwa machafu ili hali liko katikati ya...
Katavi: Hali ya Ugonjwa wa Kipindupindu kufikia Novemba 2024
Wagonjwa waliojitokeza - 441
Walioruhusiwa kutoka Hospitali – 419
Waliopoteza Maisha – 6
Mgawanyiko wa Wagonjwa hao wa Kipindupindu
Wanaume – 235
Wanawake - 206
Umri
Miaka 15+ : 187
Miaka 5 - 15: 150
Miaka 1-4: 92
Chini ya Mwaka...
Wakuu,
Nimeshangaa hivi karibuni kujua kwamba kuna wilaya huko MKOA WA KATAVI inaitwa WILAYA YA TANGANYIKA.
Yaan, JINA TUKUFU la TANGANYIKA limedharauliwa hadi kupewa wilaya?
Ina maana tumeshamiria kabisa kuiua TANGANYIKA?
CC: Pascal Mayalla
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.