Salamu Wakuu,
Kwa waliowahi kufika Kibamba kwenye mnada maarufu wa nyama tamu ya mbuzi, bila shaka mtakuwa mmekutana na changamoto kubwa ya miundombinu duni – hasa vyoo.
Hali ni ya kusikitisha. Vyoo havina maji tiririka, vinyesi vinaonekana waziwazi, na mazingira ni machafu kupindukia. Vibanda...
Ukosefu wa Maji Baadhi ya Wananchi Mtaa wa Luguruni Wilaya ya Ubungo
Tangu Februari 2024, baadhi ya wananchi wa Mtaa wa Luguruni tumekutana na tatizo la ukosefu wa huduma ya maji.
Tumeshajaribu kuwasiliana na DAWASA ili kutafuta ufumbuzi, lakini hadi sasa hatujapata hatua za vitendo wala...
Picha: Ubungo Manispaa
Mwaka 2021, Mwenge wa Uhuru ulizindua Hospitali hii ya Ubungo ili kusaidia Wakazi wa maeneo hayo kuwa na Hospitali ya Wilaya.
Hospitali hii inatoa huduma nyingi na za msingi kuanzia huduma ya mama na mtoto, kujifungua, hadi upasuaji.
Licha ya kuwa hospitali hii yenye...
Kituo cha Daladala cha Mbezi Mwisho ni mojawapo ya vituo vikubwa na vyenye umuhimu mkubwa Jijini Dar es Salaam. Kituo hiki kinapokea abiria kutoka maeneo mbalimbali ya jiji na pia kinahudumia abiria wanaosafiri kupitia Stand Kuu ya Mabasi ya Kimataifa ya Magufuli.
Pamoja na umuhimu wake mkubwa...
jeshi
jeshi la polisi
katika
kero
kero ya usafiri
kituo
mbezi
mbezi mwisho
mkoa
mkurugenzi
mkuu
mkuu wa mkoa
mwisho
ofisi
polisi
ubungo
usafiri
wilayawilayayaubungo
wito
Hivi umewahi kujiuliza mahali walipokimbilia wale dada poa (vipozeo) baada ya kudhibitiwa na mkuu wa wilaya ya Ubungo?
Wako wapi?
Ama wanafanya nini kwa wakati huu?
Walijiajiri ama kuajiriwa wapi?
Hii inastaajabisha sana! Hata Dinosours hawaku-perish kirahisi hivi kutoka kwenye uso wa dunia...
Serikali ni vema kujua kuwa wananchi wengi ni masikini sana na wenye shida nyingi kimaisha. Pia idadi kubwa ya watu hawana elimu na hawana uwezo wa kuchanganua utapeli na ukweli. Sasa sio vema Serikali kukaa kimya na kuacha jamii ikizidi kut
Hata kama serikali haina dini lakini sio vema...
Sijui hata jina lake ila ndani ya siku chache ametoa pasi mkaa au boko za kutilia shaka uwezo wake.
Alianza na kamata kamata ya machangudoa pale riverside, kesi iko mahakamani, anaitia Serikali hasara maana kesi za ukahaba ni kama za uchawi, hazina ushahidi wa moja kwa moja,mwisho wa siku...
Mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam bwana Albert chalamila juzi alikiri mbele ya Rais Samia siku ya upokeaji wa taarifa ya haki jinai nchini kuwa sasa ameacha ujinga na kuruka ruka kuwabughuzi wananchi bali atazingatia sheria, taratibu na kanuni za nchi.
Albert Chalamila mbele ya Rais Samia...
Hii ni zaidi ya kuminya mapato ya wilaya kama hajajua, hivi inaingia vipi akilini unaenda kumkamata mtu chumbani kwenye gest au lodge iliyosajiliwa na mmiliki analipa kodi serikalini monthly na ana leseni?
Binafsi naomba mkuu wetu wa Wilaya tupatie utaratibu au vigezo ambavyo vinatakiwa kwa mtu...
Habari zenu wana jamvi,
Katika pitapita huko mtandaoni nimeona taarifa ya operesheni anayoiendesha Mkuu wa wilaya ya Ubungo,Mh Hassan Bomboko ya kutokomeza biashara ya ukahaba. Takribani miezi miwili amekuwa akiendesha kampeni ya kamata kamata wanawake anaodai ni madada poa na vilevile wanaume...
Hongera sana Mkuu wa wilaya ya Ubungo kwa kudhamiria kutokomeza biashara haramu ya kuuza mili.
Leo hii tarehe 6/06/2024 Mkuu wa wilaya amekamata jumla ya madada poa 20 wakiwemo wateja wa biashara hiyo.
Tunaomba moto huu usipoe, bado maeneo ni mengi sana, sisi wananchi tutafichua vichaka vyote...
Salaam,
Natambua vema kuwa kuna maeneo mengi tu jijini Dar Es Salaam ambayo ni machafu mfano Tandika sokoni, Vingunguti sokoni……n.k lakini wilaya ya UBUNGO inabakia kinara wa UCHAFU kwa hoja zifuatazo;
1. Umeshawahi kupanda daladala za Makumbusho-gerezani/Mnazi/au Posta? Kama ndivyo je...
Barua ya wazi Kwa mkuu wa wilaya ya Ubungo, Mkurugenzi na afisa elimu.
Sisi ni wazazi wa watoto wanaosoma shule ya msingi Msumi.
Ndugu wakuu wetu tunahitaji Sana msaada wetu kuhusu upotevu wa pesa zetu ambazo tulichangishwa na Kamati ya makande inayosimamiwa na Kamati kuu ya shule chini ya...
Nikiwa kama mwananchi nimeona nitumie jukwaa hili maana naamini wahusika wengi wapo humu na wengi wanaweza saidi kupaza sauti.
Nimepita eneo la Sinza kumekucha karibu na kanisa la KKKT kiukweli hali ya usalama wa afya ni mbaya kwa wakazi hao.
Nilifanya mahojiano na baadhi ya wakazi wa maeneo...
Kibesa S/msingi wilaya ya Ubungo, jijini Dar Es Salaam, wanafunzi wa darasa la nne waamuliwa kufanya mtihani mfululizo kwa gharama ya sh. 1,000 kila mwanafunzi na kwa darasa zima lenye wanafunzi 120 linalazimika kuchanga kiasi cha sh.120,000/ ikitajwa kuwa ni posho ya Mwalimu na gharama ya...
Jana tarehe 14/8/2022 Mhe. Rais amewaonya watendaji wa TARURA kutokutoa zabuni kwa wakandarasi wababaishaji.
Wananchi wa Wialaya ya Ubungo kata ya Kibamba eneo la Kikuvya gogoni/kituo cha polisi, tunaomba viongozi wa TARUARA wachunguze ujenzi wa barabara inayo anzia Kikuvya GOGONI kituo cha...
Naziomba mamlaka ziliangalie na kulitafutia ufumbuzi suala la uchafuzi wa mazingira kwa makelele. Uchafuzi huu wa ajabu kabisa unaolelewa ni kero kubwa kwa raia na unaathiti sana utulivu wa moyo na akili.
Pengine mahospitalini tunatibiwa magonjwa sugu yanayotokana na adha ya makelele haya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.