Zoezi la uandikishaji Wananchi kwa ajili ya Kitambulisho cha Taifa (NIDA) limefanyika katika Kata ya Goweko huku kukiwa na mwitikio mkubwa unaoonekana kuzidi idadi ya Watendaji na vifaa vinavyotumika.
Idadi ya Wananchi waliojitokeza ni takribani 500 ambapo kuna Watu wengi wanaotakiwa kulipia...
Serikali iingilie kati yaani tunaomba TAKUKURU (PCCB) maafisa utumishi kwani wamekuwa wakiomba rushwa ili watekeleze majukumu yao.
Mfano nesi aliombwa atoe kitu kidogo ili alipwe mapunjo na madai yake mshara ambao hakulipwa kwa mda miezi minane ambao alikuwa kazini.
Ukifuatilia kwa umakini...
Baada ya JamiiForums.com kuripoti juu ya malalamiko ya Wananchi wa Tambukareli, Kata ya Nsololo, Wilaya ya Uyui mnamo Mei 2024 kuwa Serikali haijawalipa malipo yao ya fidia kupisha ujenzi wa Mradi wa Reli ya Kisasa ya SGR, imeripotiwa wahusika hao wamelipwa.
Hoja la malalamiko ya awali...
MBUNGE JACQUELINE KAINJA AGAWA MASHUKA NA NETI ZAHANATI YA KATUNDA, WILAYA YA UYUI
Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Tabora, Mhe. Jacqueline Kainja Tarehe 09/07/2024 nimefanya mkutano wa hadhara katika Kata ya Mabama Kijiji cha Katunda ndani ya Wilaya ya Uyui Jimbo la Uyui Kaskazini.
Mhe...
Wananchi wa Kijiji cha Kalangale, Kata Miswaki, Wilaya Uyui Mkoa wa Tabora wamenifaika na Mradi wa Zahanati uliokamilika na kuzinduliwa Mei 25, 2024.
Awali, walikuwa wakiangaika kufuata Huduma za Afya kwa umbali mrefu jambo ambalo ilikuwa ni tatizo hasa kwa akina mama Wajawazito na Watoto...
Baada ya member wa JamiiForums.com kuulizia juu ya Mradi wa Machinjio uliopo Goweko akidai umekwama kuendelezwa licha ya fedha za walipa kodi tarkibani Shilingi Milioni 25 kutumika, Mkuu wa Wilaya ameelezea Sakata hilo.
Mkuu wa Wilaya ya Uyui, Zakaria Mwansansu amesema:
Hayo Machinjio yana...
Wilaya ya Uyui inalazimisha waalimu kuchangia michango ya Mwenge na Mwalimu asiyechangia wanamuwajibisha. Pia, imesisitiza Walimu na Wanafunzi kuwepo shuleni kipindi chote cha mpumziko mafupi kwa ajili ya mapokezi ya Mwenge.
Pia, Mkurugnzi kanunua vitenge vyake na amevisambaza kwa Waratibu...
Wilaya Uyui, ni wilaya pekee ambayo ni wilaya korofi sana na kuna upigaji wa aina nyingi, Kuna ujenzi wa halmashauri mpya ya Uyui kuna ufisadi mkubwa wa kutisha watu wamejilipa pesa za kufa mtu, majengo menyewe hajakamilika ila imebidi wafanyakazi wahamie kabla ujenzi haujakamilika kwa sababu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.