Kuna wimbi la Wazungu wanapigana vikumbo kutaka hekari na hekari za maeneo kwenye wilaya za Monduli, Simanjiro na Longido, na sana Simaniro na Longido ndizo wilaya zinaweza poteza robo tatu ya vijiji vyao kwa kupewa wazungu.
Kwa walio Simanjario nazani kazi ishaanza muda sio mrefu utasikia...