Ndugu zangu watanzania,
Kwanza niwapongeze Sana kwa dhati ya moyo wangu wakuu wote wa wilaya walioteuliwa na mh Rais wetu mpendwa mzalendo wa kweli Jasiri shupavu na madhubuti Mama Samia Suluhu Hassan,Ni heshima kubwa Sana na Imani kubwa Sana mliyopewa na mh Rais, mmepata heshima hiyo Kati ya...