Ukipost jambo lolote baya dhidi ya serikali hawa ndugu zetu ambao hawajakubali matokeo lazima wa-comment hivi ; " Andamaneni Dr. Slaa atoke, andamaneni mpate tume huru ya uchaguzi".
Sasa hawa wenzetu wamejitoa upinzani na kuunga mkono juhudi? Halafu comments zao na post zao ujumbe unafanana...