Ndugu Wilhelm Francis Gidabuday atazikwa jumamosi 14:00:2024 katika kijiji cha Endamang, Nangwa , Hanang Mkoani Manyara.
Gidabuday amefariki akiwa na miaka 50, siku chache kabla ya kumkumbu ya siku yake ya kuzaliwa 19/09/1974, akiwa ni mtoto wa kwanza wa mzee Francis Gidabuday, akiwaacha wadogo...
Wilhelm Gidabuday enzi za uhai wake
Wanaukumbi aliyekuwa Katibu Mkuu chama Cha riadha Tanzania(RT) Wilhelm Gidabuday amefariki dunia usiku wa kuamkia Leo tarehe 10/9/2024 Kwa kugongwa na gari akirudi kwake eneo la Maji ya Chai jijini Arusha.
Taarifa kamili tutawaletea.
Apumzike Kwa amani...